Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Status
Not open for further replies.
Hivyo ndivyo watanzania wanavyopenda kuongozwa. Kama Nyerere asingekuwa dikteta leo hii msingekuwa mnakaa chini na kumsifia kama rais shujaa. Watanzania usipokuwa mbabe hawafanyi kazi. Wamezoea kusukumwa. Angalia utawala wa Mkapa ulivyokuwa wa kibabe na namna ambavyo mambo yalikwenda. Ndiyo maana tunaamini kwamba Dr Slaa anaweza kuwa ndiye Rais bora kabisa kwa Tanzania ya sasa, maana hana muda wa kucheka na wezi na wahujumu uchumi. Nafikiri kile alichokufanyia kimekupa somo zuri sana kwamba si mtu wa kucheka na wajinga kama anavyofanya Kikwete. Tunashukuru kwa kushuhudia hili.

Hivi Mwl Nyerere ni shujaa kweli ? Kwa lipi hasaaaa ?

Yeye ni Shujaa kuliko Marehemu Mzee Dossa Azizi ??? Acheni Unafiki wenu hapaa, Ongeleeeni habari zingine !
 
UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA

Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.

1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source; gazeti la raia mwema

2.Katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake Zitto limeleta utata.

Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source: gazeti la mtanzania

3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, Zitto Kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. Slaa. Source: jamiii forum
.

Ukifatilia CHADEMA chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu.

Ndugu yangu wewe hukujua; mbona huyo anamapungufu mengi sana tu, basi tu wafuasi wake wa chadema ama hawajui au wameamua kuishi na mapungufu hayo. halafu eti ndio anataka kuwa Rais wa Tanzania, hii wasahau. Huo ni ukweli mtupu ila subiri matusi hapa kutoka kwa wafuasi wake 40,000 humu. hata mimi najua watani quote hapa na kutukana, shame on them... halafu badae watakwambia umetumwa na TISS hapa manake sikuhizi kila linalomsibu mwanasiasa lawama ni kwa TISS, hata mwanasiasa akiporwa mke au kuibiwa simu manzese atasema anaandamwa na TISS. Amakweli mzigo mkubwa mpe mnyamwezi,
 
kwa hiyo kila mmoja anatakiwa awe mwanasiasa? Au kumkosoa mtu kosa? Mbona ninyi CHADEMA mkiambiwa ukweli POVU LINAWATOKA?
...nooo namaanisha how can you be an expert katika fani zisizo zako,mbona nyie ccm mkipingwa kwa hoja mnakimbilia kusema hatupendi kukosolewa ? na cha pili nilicho maanisha kwa kukwambia weka ya kwako ni kwamba na wewe unayo mapungufu meengi huenda zaidi ya yale unayo yasema ya Dr,so far Dr is more productive kwa chama kuliko wakati mwingine wowote na ccm wanalijua hilo...
 
Hivyo ndivyo watanzania wanavyopenda kuongozwa. Kama Nyerere asingekuwa dikteta leo hii msingekuwa mnakaa chini na kumsifia kama rais shujaa. Watanzania usipokuwa mbabe hawafanyi kazi. Wamezoea kusukumwa. Angalia utawala wa Mkapa ulivyokuwa wa kibabe na namna ambavyo mambo yalikwenda. Ndiyo maana tunaamini kwamba Dr Slaa anaweza kuwa ndiye Rais bora kabisa kwa Tanzania ya sasa, maana hana muda wa kucheka na wezi na wahujumu uchumi. Nafikiri kile alichokufanyia kimekupa somo zuri sana kwamba si mtu wa kucheka na wajinga kama anavyofanya Kikwete. Tunashukuru kwa kushuhudia hili.

Hivi Mwl Nyerere ni shujaa kweli ? Kwa lipi hasaaaa ?

Yeye ni Shujaa kuliko Marehemu Mzee Dossa Azizi ??? Acheni Unafiki wenu hapaa, Ongeleeeni habari zingine !
 
Kama haya ndio unayaita mapungufu basi anafaa kuwa rais. Kama kweli unahulka ya upembuzi yakinifu compare and contrast mapungufu kati ya Kikwete na Slaa. Ili wenye akili timamu waone.
 
Aisee sijui ingekuwa vipi iwapo tuhuma za ujangili wa tembo wetu na umiliki wa viwanda vya kusaga meno ya tembo wetu ndo ungekuwa unamwandama/husishwa na Dr W . P. Slaa!!??.....Ni wazi Kikwete angehutubia taifa!!!

Intergrity ya Katibu mkuu wa CHADEMADaktari halisi wa falsafa DR WILBROAD PETER SLAA haina shaka hata kidogo na nyie Ma-CCM mnajua hilo.....Mmekwenda Karatu kucheki kama hata kama aliwahi kujaza hata lita moja ya mafuta ya halmashauri katika gari enzi enzi akiwa mbunge ili mpate pa kupigia kelele,lakini wapi bana!!......Sasa mnakuja na hoja ambazo hata kwa anayefikiri kwa kutumia makalio hawezi kuona mantiki yake

Tafuteni mlango mwingine wa kuingilia.......and we know that option mliyonayo kwa sasa ni labda kum........
 
Chadema kitakuua kwa presha bure.Utabadili ID nyingi sana lakini utaambulia aibu tu

Vijana Chadema wanapenda viongozi wakali na wenye misimamo.Hawapendi unafiki

Dr.Slaa ni miongoni mwa viongozi hao.

Poleni sana kwa kuweweseka maana hata Rupiah Banda wa Zambia hali hii ilimkuta kabla hajang'olewa rasmi na Michael Satta na vijana wa Zambia

Just Relax

Wewe endelea kutekeleza majukumu yako mkuu, maana nyie wengine kumsifia tu dr. Slaa mnaingiza siku, maana usipofanya hivyo unajua fika hakuna jambo lingine kwenye maisha lenye thamani la kufanya.

Kwa sisi wachakalikaji hatupo tayari kushikwa akili na kuambiwa cha kusema kisa pesa, unakuwa mtumwa wa mtu na adui wa matakwa ya moyo wako kisa pesa!!! Haya maisha ya utumwa wa fikra wakati upo kwenye nchi huru mpaka lini ndugu??
 
Look at these mumu people ,

Mapovu yanawatoka tu.

Unadhani kila mtu analipwa kama mlivyo ninyi.Mkishindwa kwenye hoja mnaleta vioja.Sitafuata njia hiyo.Have funny Dude!
 
Ndugu yangu wewe hukujua; mbona huyo anamapungufu mengi sana tu, basi tu wafuasi wake wa chadema ama hawajui au wameamua kuishi na mapungufu hayo. halafu eti ndio anataka kuwa Rais wa Tanzania, hii wasahau. Huo ni ukweli mtupu ila subiri matusi hapa kutoka kwa wafuasi wake 40,000 humu. hata mimi najua watani quote hapa na kutukana, shame on them... halafu badae watakwambia umetumwa na TISS hapa manake sikuhizi kila linalomsibu mwanasiasa lawama ni kwa TISS, hata mwanasiasa akiporwa mke au kuibiwa simu manzese atasema anaandamwa na TISS. Amakweli mzigo mkubwa mpe mnyamwezi,

Ungeonekana sehemu muhimu ya Great thinkers katika jukwaa kama ungeleta vigezo vya kum-disqualify na sio hii mipasho humu kwa ID fake nyuma ya Keyboard halafu unataka watu wasikujibu?.What a coward
 
Ungeonekana sehemu muhimu ya Great thinkers katika jukwaa kama ungeleta vigezo vya kum-disqualify na sio hii mipasho humu kwa ID fake nyuma ya Keyboard halafu unataka watu wasikujibu?.What a coward
nina panya kibao hapa home vipi ile kitu bado unayo?
 
Ungeonekana sehemu muhimu ya Great thinkers katika jukwaa kama ungeleta vigezo vya kum-disqualify na sio hii mipasho humu kwa ID fake nyuma ya Keyboard halafu unataka watu wasikujibu?.What a coward
mkuu mimi naomba nikuulize swali, hivi unashughuli gani zinazo kuingizia kipato?
 
Kama haya ndio unayaita mapungufu basi anafaa kuwa rais. Kama kweli unahulka ya upembuzi yakinifu compare and contrast mapungufu kati ya Kikwete na Slaa. Ili wenye akili timamu waone.

Slaa na kikwete kuwalinganisha ni sawa na Mlima uluguru na Mlima Kilimanjaro. Mtakesha mkimchafua Slaa lakini watz hawatawaamini.
 
Umesahau mapungufu ya Totoz ni mbayaaa.Muulizeni alikotoka huko kilichomfukuza hadi watoto wadogo wakimwona wanajificha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom