idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,304
- 38,476
hembu leta evidence isije ikawa unaleta umbeya tuSlaa hajawahi kufanya lolote Ofisi yake isilalamikiwe, kuna ugomvi mkubwa sana na Sekritareti yake.
Source: CDM mpenda ukweli.
Chadema kitakuua kwa presha bure.Utabadili ID nyingi sana lakini utaambulia aibu tu
Vijana Chadema wanapenda viongozi wakali na wenye misimamo.Hawapendi unafiki
Dr.Slaa ni miongoni mwa viongozi hao.
Poleni sana kwa kuweweseka maana hata Rupiah Banda wa Zambia hali hii ilimkuta kabla hajang'olewa rasmi na Michael Satta na vijana wa Zambia
Just Relax
ukweli mchungu lakini subiri matusi kutoka kwa vijana wake hapa
Chadema kitakuua kwa presha bure.Utabadili ID nyingi sana lakini utaambulia aibu tu
Vijana Chadema wanapenda viongozi wakali na wenye misimamo.Hawapendi unafiki
Dr.Slaa ni miongoni mwa viongozi hao.
Poleni sana kwa kuweweseka maana hata Rupiah Banda wa Zambia hali hii ilimkuta kabla hajang'olewa rasmi na Michael Satta na vijana wa Zambia
Just Relax
hembu leta evidence isije ikawa unaleta umbeya tu
Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA
1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source; gazeti la raia mwema
2.Katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake Zitto limeleta utata.
Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source: gazeti la mtanzania
3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, Zitto Kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. Slaa. Source: jamiii forum.
Ukifatilia CHADEMA chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu.
we need strong leader who can overcome thier critics without anger, hate,angry, but changing on their daily routine