MAMA TWO SUM
Member
- Apr 30, 2013
- 9
- 1
Nawewe ni walewale tu.
kaka makopo kwa nini unamwogopa sana huyu mzee?Wadau wameshamshauri sana Dr. Slaa astaafu ila Josephine ana ndoto za kuwa first lady ndio maana anamlazimisha Dr. Slaa kuendelea na siasa.
Kwahiyo anachopigania Dr. Slaa sasa hivi ni ndoto za Josephine za kuwa first lady.
tatizo lako we kaka ni mnafikiMkuu Maringo, naamini kwa wiki tatu ulizokuwemo rasmi humu jukwaani, wewe sio mgeni na JF!, unapandisha thread kuhoji integrity ya Dr?!.
Wee subiria tuu, utajibiwa ipasavyo!.
Pasco.
Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA
1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source; gazeti la raia mwema
2.Katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake Zitto limeleta utata.
Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source: gazeti la mtanzania
3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, Zitto Kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. Slaa. Source: jamiii forum.
Ukifatilia CHADEMA chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu.
kwa nini wa kubali kuibwa?Kuiba wake za watu
tatizo la huyu makopo na mwenzake pasco wanamwogopa sana DrUsingejitokeza kuchangia...ningejiunga na CCM ukweli tena!
Mnaogopa nn!?c mtulie muone awaonyeshe kazi
nawe wetu kave ukishito uu mghenji ni dikteta teenda kukundwa ni mnduDhumuni kubwa la thread hii ni kukosanisha viongozi wa CHADEMA.
Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA
1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source; gazeti la raia mwema
2.Katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake Zitto limeleta utata.
Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source: gazeti la mtanzania
3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, Zitto Kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. Slaa. Source: jamiii forum.
Ukifatilia CHADEMA chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu.
watoto wadogo au mademu clarify tungo tatayako​Upungufu mwingine ni mpenda watoto
maringo dr. akikukamata utakiona cha mtema jipange snNimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA
1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source; gazeti la raia mwema
2.Katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake Zitto limeleta utata.
Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source: gazeti la mtanzania
3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, Zitto Kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. Slaa. Source: jamiii forum.
Ukifatilia CHADEMA chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu.
mimi siogopi kwani nimeiba muhimu am telling the issue which will help him and country as whole, if u hold a public office is not like selling vitumbua manzese just talking and shouting. in public office w dont shout but with go with official letter with reference no and dispatch also innturn the respondee do the same. BIG MOUTH HAVE NOTHING 2DO HERE.maringo dr. akikukamata utakiona cha mtema jipange sn
unfikiri uprofesa wa baregu ni sawa nawamajimarefubaregu anatakiwa kutumia busara na anatakiwa kuhoji kupitia mifumo rasmi ya chama na anatakiwa kutumia elimu yake kama inamsaidia. yeye asione nafasi hiyo ndiyo kete ya kuonesha ameanza kujali taifa, tunamkubali lakini anapoanza kuongea na vyombo vya habari namshangaa sana. amepewa kete sawa akawape viongozi wenzake shule juu ya madai yao na siyo kuropoka baada ya kupata vijisenti na kuona nongwa kuacha hizo zilizobakia
prof anataka mshiko 12 m per monthunfikiri uprofesa wa baregu ni sawa nawamajimarefu
kikwazo acha kifikiri upogo yeye hakupewa barua unafikiri anafanya kazi kw kuambiwa na mdomodr. slaa mfukuze prof baregu huyu jammaa ni kikwazo
hapo kwenye ni ndalichako2012/13 au?:A S 20::A S 20😀r. SLAA MIMI NINAWEZA KUMFANANISHA NA GREATEST HERO'S OF OUR PRESENT TIME, KWANI NI KIONGOZI MWENYE VISION YA KUTOSHA NA NDIYE ATAKAYE ''RESCUE" FANYA REFERENCE KWENYE KITABU CHA FASIHI KIITWACHO 'GOD BITS OF WOOD' FANANISHA CHARACTERS NA YEYE U WILL GET THE WHOLE PICTURE OF DR SLAA AS HE IS SUPERB...................... THEN MAKE COMPARISON WITH THE REST....................... VILEVILE COMPARE NA KITABU CHA FASIHI KIITWACHO 'THE BEAUTIFUL ONE ARE NOT YET BORN' BY AYI KWEYII....................... HAYO NI MAMBO YA KAWAIDA KWANI HAKUNA KIONGOZI/MTU AMBAYE HAKOSEI, WE ARE NOT AN ANGELS BUT WE JUST MERE HUMAN BEINGS.... AND WE SHALL REMAIN HUMAINS IMAPERFERCT😛ray2: