Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Status
Not open for further replies.
Wewe unafanya 'kazi' na William Malecela ( Le Mutuz)??
Soma hapa chini uone ni 'kazi' gani unayoifanya...(hii imetoka facebook ya huyo jamaa..!!)

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
watu wanajadili mambo ya maana unaleta mambo ya kipuuzi
 
watu wanajadili mambo ya maana unaleta mambo ya kipuuzi

Hapo kwenye blue...

Mimi naona mabo ya kipuuzi ni kumjadili mtu binafsi.

Yaani wewe unatumia muda wako kumjadili mtu binafsi, badala ya kujadili jinsi ya kuikomboa nchi yetu toka makucha ya mafisadi, wezi wala rushwa na majangili.

Kwa hiyo mada yako nzima ndio hiyo happo kwenye blue...

Hebu angalia picha hii hapa...
Haya ndio mabo ya kujadili ili tunaondoe kabisa katika nchi yetu...

Tembo+kafa.jpg
 
Kwa hayo mapungufu atakua binadamu mwenye mapungufu machache sana duniani kwel umethibitisha anastail uongozi
 
naliona angukolake

Anguko la nani tena?? Kinana au Dr Slaa.
Kama ni kinana anayetumalizia pembe za ndovu nakubaliana na wewe.
Kama hili la kutoandika barua siyo hoja, kwa sababu kuna tatizo gani kumwambia Baregu ajitoe kwa simu wakati mchakato wa kuandika barua unaendelea?
 
Anguko la nani tena?? Kinana au Dr Slaa.
Kama ni kinana anayetumalizia pembe za ndovu nakubaliana na wewe.
Kama hili la kutoandika barua siyo hoja, kwa sababu kuna tatizo gani kumwambia Baregu ajitoe kwa simu wakati mchakato wa kuandika barua unaendelea?
Kamanda hawa wajamaa wanamtetea jangili anayetumalizia tembo wetu
 
watu wanajadili mambo ya maana unaleta mambo ya kipuuzi
upuuzi ni wako wa kuzani kuwa kila mtu ana erronious conscience katika kila kitu,acha unafki ndugu pilau na pesa za kuhongwa zitakuua
 
true politician agree on their weak side

Wewe hata kuweka ushahidi huwezi.
Hebu weka ushahidi wa hizi 'weak side'

Angalia mfano huu hapa chini ili uone jinsi ya kuweka ushahidi,,,

Nchi yetu ina raslimali nyingi sana lakini zinaliwa na mafisadi.
Angalia hapa chini..

Mgodi wa dhahabu Tanzania.
0,,16508978_303,00.jpg


Dhahabu ya Tanzania.
shiny-gold-bullion-bars.jpg


Umaskini Tanzania..
mke+na+mume.jpg
 
watu wanajadili mambo ya maana unaleta mambo ya kipuuzi

Wewe si ndo mpuuzi kuliko upuuzi wenyewe badala ya kujadili mambo ya kitaifa unakaa kumjadili mtu na maisha yake. Ukimaliza jadili na ya Kinana na usomali wake.
 
Kwa hayo mapungufu atakua binadamu mwenye mapungufu machache sana duniani kwel umethibitisha anastail uongozi
Hata watu maarufu wote duniani waliofanya vizuri walikuwa na madhaifu yao madogo madogo akiwepo Mandela, Abaraham Lincolin, Clinton nk. Hakuna Malaika duniani.
Hata hivyo, mapungufu ya Dr Slaa yaliyoorodheshwa hapo ni majungu zaidi, hamna hoja hapo.
 
.
KATIBU MKUU CHADEMA, Dk. Willbrod Slaa (pichani), na wimbo wa diamond nimpende nani R. K AU J.M
 
hata watu maarufu wote duniani waliofanya vizuri walikuwa na madhaifu yao madogo madogo akiwepo mandela, abaraham lincolin, clinton nk. Hakuna malaika duniani.
Hata hivyo, mapungufu ya dr slaa yaliyoorodheshwa hapo ni majungu zaidi, hamna hoja hapo.
hebu nenda kwa examples na vivid evidence kwa ulowataja
 
je mtu akikosolewa jibu lake ni majungu let us find integrity of the issue
 
Zitto kabwe na mama yake wanatumiwa na ccm kuihujumu chadema, zitto ni mwana ccm ndani ya magwanda ya chadema ndio maana hujuma nyingi ccm wanamtumia yeye na sasa mama yake.
 
Zitto kabwe na mama yake wanatumiwa na ccm kuihujumu chadema, zitto ni mwana ccm ndani ya magwanda ya chadema ndio maana hujuma nyingi ccm wanamtumia yeye na sasa mama yake.
toa ushaahidi sio unakurupuka zito ni naibu katibu mkuu au umetumwa
 
Zitto kabwe na mama yake wanatumiwa na ccm kuihujumu chadema, zitto ni mwana ccm ndani ya magwanda ya chadema ndio maana hujuma nyingi ccm wanamtumia yeye na sasa mama yake.
thred inahusu utendaji wa dr. slaa zito unamuingizaje kama umetumwa kuchafua useme unakuwa mmbeya
 
UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA


​
Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.

1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source; gazeti la raia mwema

2.Katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake Zitto limeleta utata.

Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source: gazeti la mtanzania

3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, Zitto Kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. Slaa. Source: jamiii forum
.

Ukifatilia CHADEMA chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu.

Kufanya Tathimini kwa kuangalia upande mmoja ni kuwa bias. Tuambie mapungufu hayo unalinganisha na Katibu mkuu wa chama gani ili tuweze kulinganisha?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom