Msemaji Mkuu wa CCM ni Katibu mkuu siyo Katibu wa Itikadi na Uenezi, sijui Kwanini CCM wanakopi mfumo wa CHADEMA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,969
141,982
Hili kosa limekuwa likijirudia sana la kudhani Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM ndiye Msemaji mkuu wa Chama

Kwa mujibu wa Katiba ya CCM Msemaji mkuu wa Chama ni Katibu mkuu na hii ilipelekea Dr Bashiru na Komredi Polepole kukwazana mara kwa mara

Kuna tofauti kubwa Kati ya Kukisemea Chama na Kukieneza Chama

Nakumbuka wakati fulani Katibu mkuu wa CCM alikasimu jukumu lake la Kukisemea Chama kwa ndugu Tambwe Hiza rip

Tunakumbushana tu maana waongeaji wa leo wote walikuwa wanamtambulisha Katibu wa Itikadi na Uenezi kama ndiye Msemaji mkuu wa Chama

Ahsanteni 😀😀
 
Ahsanteni
Inaonekana CCM ilikuwa imekufa makonda ndiye kaja kuipa pumzi na ndiye top ndiyo maana kasema wataisoma namba akimaanisha Msoga Gang hawana chao tena,lazima JK na genge lake waufyate na wasalimu amri kwa makonda.
 
Chongolo hana kaliba ya kusimama na Makonda toe to toe
 
Ahsante kwa taarifa. Tutaifanyia kazi.
 
Inaonekana CCM ilikuwa imekufa makonda ndiye kaja kuipa pumzi na ndiye top ndiyo maana kasema wataisoma namba akimaanisha Msoga Gang hawana chao tena,lazima JK na genge lake waufyate na wasalimu amri kwa makonda.
ungejua jk na makonda ni watu wakushibana Sana. unajua Nani alianza kumpa u Dc makonda!?
 
Inaonekana CCM ilikuwa imekufa makonda ndiye kaja kuipa pumzi na ndiye top ndiyo maana kasema wataisoma namba akimaanisha Msoga Gang hawana chao tena,lazima JK na genge lake waufyate na wasalimu amri kwa makonda.
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi:

1698327417747.png
 
Sasa kuna mwenye hakili humo mzee wangu , si kabaki Warioba na mzee wa kigoda wengine matapeli tu

Back
Top Bottom