Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

Status
Not open for further replies.
UTENDAJI WA KATIBU MKUU DR WILBROD SLAA

​
Nimepata wasiwasi na utendaji wa katibu mkuu dr slaa kwa namna anavyoshughulikia mambo.

1. Kushindwa kumfahamisha kwa barua prof: baregu kuhusu maelezo ya kikao cha kamati kuu kuhusu kujitoa katika mchakato wa katiba mpya. Ukiwa mtendaji mkuu hupaswi kuagiza kwa mdomo unapaswa kutoa barua na kuijbiwa kwa barua utaratibu aliotumia kumfahamisha prof baregu unaonyesha mapungufu ya kutambua kazi za ukatibu mkuu. Source; gazeti la raia mwema

2.Katibu mkuu namna alivyoshughulika suala la kutaka kutekwa mama yake Zitto limeleta utata.

Namna katibu mkuu alivyolishughulikia na kushindwa kutoa press release kama chama kwani ye ye ndio mtendaji mkuu kwani watu wamezusha kwamba kuna mpango wa hujuma kama katibu mkuu naona kuna mapungufu.source: gazeti la mtanzania

3.Kuvuja kwa barua ya siri ya mh, Zitto Kabwe ambayo ilikuwa ni confidential haya ni mapungufu katika utendaji wa katibu mkuu dr. Slaa. Source: jamiii forum
.

Ukifatilia CHADEMA chini ya katibu mkuu kuna mapungufu yanajitokeza katika utendaji kazi nafikiri angepima mwenyewe kabla ya kuamua kujiuzulu.

umeanza tena tamaa mbele mauti nyuma
 
Kuvuja kwa taarifa ni kawaida sababu hata Nchi zilizoendelea haya mambo hutokea
 
Better remain silent and be considered a fool than speak and remove the doubts
 
nshaeleza maranyingi NINGEJIUZULU ndo mana nakwambia ndalichako2012/13
... Magamba mnatamani Dr ajiuzuru, hahaha!--- unaweza ukatufafanulia chama chenu kitakavyonufaika kama mkishindana na mtu mwenye mapungufu kama Dr hapo mwaka 2015?
 
dr atafakari anaonyesha kupwaya ck za karibuni kama vipi ajilipue
 
Chadema kitakuua kwa presha bure.Utabadili ID nyingi sana lakini utaambulia aibu tu

Vijana Chadema wanapenda viongozi wakali na wenye misimamo.Hawapendi unafiki

Dr.Slaa ni miongoni mwa viongozi hao.

Poleni sana kwa kuweweseka maana hata Rupiah Banda wa Zambia hali hii ilimkuta kabla hajang'olewa rasmi na Michael Satta na vijana wa Zambia

Just Relax
kuna panya wananisumbua hapa home vipi ile kitu bado unayo?
 
Slaa dikteta,sasa amekutana na mziki wa beregu.
"if I have to choose between my party(POVERTY) and my country(MBUMBA), I will choose my country(MBUMBA)"...milioni18 zimetengwa kuhudumia wanatume watakaopata ukimwi wakiwa kazini - hehehee CCM bana!
 
Wadau wameshamshauri sana Dr. Slaa astaafu ila Josephine ana ndoto za kuwa first lady ndio maana anamlazimisha Dr. Slaa kuendelea na siasa.

Kwahiyo anachopigania Dr. Slaa sasa hivi ni ndoto za Josephine za kuwa first lady.

HAYA NI MATUSI YASIYO NA MSINGI,MI SIKULAUMU KWANI HII INAONESHA PICHA HALISI YA FAMILIA UNAYOTOKA,NA NI WAZI WEWE NI MIONGONI MWA LILE JOKA LA KIJANI LINALOMEZA HATA TEMBO WA TAIFA HILI.......MI SIAMINI MTU MWENYE UWEZO MZURI WA KUFIKIRI ANAWEZA KUTOA COMMENT KAMA HII........NI BUSARA KUNYAMAZA KAMA HUNA MAWAZO YA KUJENGA........AU NDO MISINGI YA CHAMA CHAKO CHA CCM{CHAMA CHA MATUSI}.......elimika mkuu!
 
Umetumwa wewe mbwig.a kweli kweli,Dr kawakamata kila kona sasa mmeishiwa hoja za msingi mmebakia kuweweseka vya kutosha lakn Dr.Slaa hakamatiki kabisa,kudadedeki zenu
 
Chadema kitakuua kwa presha bure.Utabadili ID nyingi sana lakini utaambulia aibu tu

Vijana Chadema wanapenda viongozi wakali na wenye misimamo.Hawapendi unafiki

Dr.Slaa ni miongoni mwa viongozi hao.

Poleni sana kwa kuweweseka maana hata Rupiah Banda wa Zambia hali hii ilimkuta kabla hajang'olewa rasmi na Michael Satta na vijana wa Zambia

Just Relax
We nawe kila anaye mponda silaa ana unamjua
 
Big time joke, Prof ni mjumbe wa kamati kuu lakini hakushirikishwa kwenye mkutano huo!
 
dk mbona mkeo kajitokeza wewe umejificha wapi kamanda jitokeze ujibu hoja
 
HAYA NI MATUSI YASIYO NA MSINGI,MI SIKULAUMU KWANI HII INAONESHA PICHA HALISI YA FAMILIA UNAYOTOKA,NA NI WAZI WEWE NI MIONGONI MWA LILE JOKA LA KIJANI LINALOMEZA HATA TEMBO WA TAIFA HILI.......MI SIAMINI MTU MWENYE UWEZO MZURI WA KUFIKIRI ANAWEZA KUTOA COMMENT KAMA HII........NI BUSARA KUNYAMAZA KAMA HUNA MAWAZO YA KUJENGA........AU NDO MISINGI YA CHAMA CHAKO CHA CCM{CHAMA CHA MATUSI}.......elimika mkuu!

Sasa wewe ya kwako yamejenga wapi?
 
we need strong leader who can overcome thier critics without anger, hate,angry, but changing on their daily routine
 
tumekusikia haya sasa tupe na mapungufu ya mr ndovu kinana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom