Mapumziko garden

mkuu Arusha TFA badizzo ipo, ... unahitaji hichi kifaa ili mabeberu yanone

actually you have a very good idea. ., biashara hii ya utalii wa ndani (domestic/local tourism) imesahaulika kabisa

keep it up mkuu

Asante mkuu.
 
Yes,<br />
<br />
Unajua kuna kundi kubwa la jamii linakosa huduma kama hizi, hivi Maaskofu/walokole/mashehe hawapendi nyama choma? au hawapendi kuogelea ktk swimming pools, sasa kama wanataka/penda wapi wanapata huduma hizi? For sure, mchemsho wanapenda, ngoja niwajengee sehemu mwafaka kwao.
<br />
<br />
tunapenda sana tena utuwekee na mwalimu wa kutufundisha kuogelea. Usisahau kutenga eneo kwa ajili ya michezo mengine kwa kujichangamsha.
 
Hapa nina maanisha,ni kwa ajili ya hawa wa honey moon,sio wale wa short time. Wakati mwingine unaweza kwenda nje ya nyumbani kwako na mamsap wako na mkalala huko huko.

Shida ni kwamba wafanyabiashara wanaona kwamba hiyo inawanyima turnover ya haraka.
 
Hongera kwa mawazo mazuri,watu wanapenda sana kutoka na familia zao ila mara nyingi sehemu zilizotulia ni chache na 4 this you will catch us.ushauri kuhusu hiyo swimimng pool unaweza pia kuweka mtu wa kufundisha hasa watoto na kila wkend mtoto atamkumbusha mzazi kwamba ana swimming class at your place,angalizo lazima pawe na enrty fee hii itasaidia kupunguza population isiyo ya lazima hata wakiingia huko ndani wasipokula haitakuumiza sana.Be blessed u can make it !
 
Hi
Jijini Dsm kuna upungufu mkubwa wa sehemu nzuri za kupumzikia familia ( yaani mahali ambapo wewe na familia yako unaweza kwenda bila kigugumizi),mahali ambapo unaweza kuyaona mazingira yenye heshima ya Kiafrika. Naamini familia nyingi zingependa kwenda mahali ambapo ni free fro alcohol, free from uzinzi,free from kiti moto, bali kuna juice ya matunda,ugali wa dona,kuku wa kienyeji,maziwa ya mbuzi,muziki laini kwa sauti ya chini kabisa.

Bustani itakuwa na vyumba vizuri kwa bei nzuri ambayo MKESHA HOI/LAT/KAKA KIIZA wa JF anaweza kumudu bila maumivu na akatamani kurudi tena.Bustani itakuwa na mboga za majani kama mnafu na nyinginezo. Michezo ya watoto wetu itawekwa.

Nahitaji michango ya huduma gani zaidi ziwepo ili kupafanya pawe bora zaidi. Eneo lipo,linafikika kwa daladala,lina maji na ni kubwa kama eka kumi. Hili eneo sitaki kuliharibu, nataka libaki na uasili wake kwa kuitunza miti niliyo ikuta pamoja na nyasi zake. Nitaongeza miti ya matunda tu.

Kaka Malila weeeeeee... unatunyanyapaa wadau wa pweza na ngisi kaka.. hapo weka Ka-Mpesa ili bosi zang Babalao/New mzalendo/LAT wapunguze salio wakuungushie wewe.....

Ila kwa sera nahisi ka KakaKiiza atakubwaga...legeza masharti..!!!
 
duh itakuwa ni fursa kujionea vitu kama ngoma za unyago
Kitamaduni zaidi.. watakuwepo wali wa kuyarudi magoma? kwa sababu unafuga.... weka mbio za bata na mbuzi.. mara moja alika bendi ka Inafrika au Banana..!!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Ongea na Manispaa ya Kinondoni;
1.kuna eneo lipo pale Magomeni karibu na Kanisa la KKKT Magomeni mviringo lipo wazi Mateja wanalitumia kuvutia Bange... hilo ni la kwanza...
2.Kuna eneo lipo Oysterbay jirani na Oysterbay Primary limezungukwa na Barabara ya Zambia
3.Kuna eneo lipo Oysterbay barabara ya Toure inapokutana na Kenyata
4.Kuna eneo lipo zilipokuwa Quater za posta na Simu Sam Nujoma Road... etc... Mifano michache kwa wilaya ya Kinondoni...
 
Mkuu Malila,nakuunga mkono mia mia..tengeneza zaid kiasil kama samak samak pale mliman city,thn chakula cha kiasili kama Ugali wa Bada,Mlenda,Kuku choma wa kienyej,Kande ivo vitu hatujala siku nyingi then najua c wabongo tu watakaotia miguu hata rangi nyeupe kama kawa.
Ila kiinglio kiwakumbuke walalahoi wa TZ.,bei za chakula nazo zisiwe za juu sana zikatufanya tuje mara1 kwa mwaka. Kila la kheri mkuu.
 
Mkuu Galawani inabidi pafure miti ya matunda na yaupepo mtulivu Big up mkuu tunakuombea mafanikio mema mungu akujaalie ufanikiwe adhma yako
 
Mkuu Galawani inabidi pafure miti ya matunda na yaupepo mtulivu Big up mkuu tunakuombea mafanikio mema mungu akujaalie ufanikiwe adhma yako

Kasopa,
Ninalenga pale Galawani kabisa,Mungu anijalie afya na heri nitimize, kwa sababu unapafahamu,naamini panafaa kwa shghuli hii.
 
Mkuu Malila,nakuunga mkono mia mia..tengeneza zaid kiasil kama samak samak pale mliman city,thn chakula cha kiasili kama Ugali wa Bada,Mlenda,Kuku choma wa kienyej,Kande ivo vitu hatujala siku nyingi then najua c wabongo tu watakaotia miguu hata rangi nyeupe kama kawa.
Ila kiinglio kiwakumbuke walalahoi wa TZ.,bei za chakula nazo zisiwe za juu sana zikatufanya tuje mara1 kwa mwaka. Kila la kheri mkuu.

Asante kwa mchango,

Na mimi nalenga zaidi watu kupata furaha zaidi bila kuwa umiza, unapowaumiza basi hujatenda mema kwa wenzako.
 
Ongea na Manispaa ya Kinondoni;
1.kuna eneo lipo pale Magomeni karibu na Kanisa la KKKT Magomeni mviringo lipo wazi Mateja wanalitumia kuvutia Bange... hilo ni la kwanza...
2.Kuna eneo lipo Oysterbay jirani na Oysterbay Primary limezungukwa na Barabara ya Zambia
3.Kuna eneo lipo Oysterbay barabara ya Toure inapokutana na Kenyata
4.Kuna eneo lipo zilipokuwa Quater za posta na Simu Sam Nujoma Road... etc... Mifano michache kwa wilaya ya Kinondoni...

Tatizo la viongozi wetu,
Nikitia timu na wazo langu hili,watanipa urasimu na wazo lenyewe nitanyang`anywa na huyo mnyang`anyi bado hata fanya vile nipendavyo. Open space nyingi ni ugomvi mtupu,ili nifanikiwe vizuri ni lazima nitatumia eneo langu ambalo ninalo.
 
Kaka Malila weeeeeee... unatunyanyapaa wadau wa pweza na ngisi kaka.. hapo weka Ka-Mpesa ili bosi zang Babalao/New mzalendo/LAT wapunguze salio wakuungushie wewe.....

Ila kwa sera nahisi ka KakaKiiza atakubwaga...legeza masharti..!!!

namwomba mungu atujalie ili ngisi na nduguze wapatikane.
 
Mkuu nilipo ona hii tred nikapata picha yote nahpo ni mwake hujakosea kabisa nipatam sana na nirahizi kufika mkuu Mungu akufungulie njia haraka Inshaalah
Kasopa,
Ninalenga pale Galawani kabisa,Mungu anijalie afya na heri nitimize, kwa sababu unapafahamu,naamini panafaa kwa shghuli hii.
 
mkuu Malila,
fikiria jinsi ya kuweka wanyama wadogo wadogo,kama simbilisi,jamii ya swala,panya buku ,sungura etc,si unajua kwa wale wenye watoto wa primary unaweza kukuta mtoto anajua wanyama ktk video tu,hajawahi hata kumuona ostrich ,
hivi kufuga Tausi unahitaji kibali? ingependeza pia ukaweka tausi ,siku hizi hawapo tena.
 
Back
Top Bottom