Tanzania pawepo na maeneo huru ya kupumzika

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,299
UTANGULIZI
Maeneo ya kupumzika ni mazuri kwa afya ya kili pia ustawi wa jamii yetu, Unajua pale mtu ambapo umetoka katika mizunguko au umechoka kukaa ndani kuna haja ya kuwa na maeneo huru ambayo mtu anaweza kupumzika bila buguza yoyote kwa mda Fulani, Maeneo yaliyo mengi yanamilikiwa na watu binafsi kama migahawa na bar amabapo mtu ukiende lazima ulipe kiasi fuani cha hela kupata huduma Fulani Fulani.

Kwa sasa nikiri kwa tanzania yetu hayo meneo hayapo rasmi ukiachana na fukwe za bahari nk amabazo kwa wengine mazingira siyo rafiki maana ziko mbali, lakini kuna maeneo Tanzania amabayo bahari na maziwa hamna hivyo kukosa sehemu watu wanaweza kupumzika kama familia au mtu mmoja mmoja…

NINI KIFANYIKE
Serikali inaweza kutenga maeneo ya wazi na kuweka miundo mbinu rafiki ambayo itawafanya watu wawe wanaenda kupumzika pale amabapo wameamua kubadilisha mazingiea au outing bila wasiowasi wowote, unajua unaweza ukawa katika mizunguko ukataka upumzike, ila ukiangaza macho huku na huku huoni sehemu free, hasa ukiwa mgeni maeneo yale ndo inakuwa balaa zaidi

Kwa mfano Dar es salama kwa sasa watu wanazagaa hovyo hovyo na kuvamia maeneo ya kupumzika mabayo hayako rasimi, mfano stand za mabasi, viwanja vya mipira, madaraja kama manzese na Pale buguruni utakuta watu wamejazana hawana hili wala lile, hata hizi fly overs imelazimu kuweka uzio kwa kuhofia yale yangekuwa makazi ya watu au sehemu za kupumzikia.

WAPI YAWEPO HAYA MAENEO
Kiufupi maeneo yote yenye mikusanyiko mikubwa na mwingiliano wa watu wengi, nitatoa mifano michache.
  • Maeneo yote yeneye mikusanyiko mikubwa ya watu.
  • Sehemu zenye biashara na ofisi nyingi mfano kariakoo kwa Dar.
  • Sehemu yoyote kwenye makazi ya watu ammbapo watu wanaweza kutoka kwenda kutuliza akili bila kulazimika kwenda kwenye eneo la mtu Binafsi.
  • Eneo lolote lile ambalo linafaa kwa watu kutpumzika.
1692623002924.png

Mfano wa Eneo la wazi la kupumzikia

Gharama za ujenzi na uendeshaji
Ikumbukwe haya maeneo yatakuwa kama huduma kwa jamii kama ilivyo shule na Barabara naamini hayatakuwa mengi sana kwa sababu waalipa kodi ni sisi hakuna jambo litakaloshindikana kwa sababu yatajengwa kwa kiwango cha kawaida amabapo itaruhusu hata mtu kwenda na mkeka wake kupumzika.

Basi maeneo haya yakishajengwe na kutengwa huku yakiwa na huduma za muhimu kama vile umeme, maji chooo nk, serikali inanaweza kukaribisha wafanyabishara ambao watakuwa wanauza vitu vidogo vidogo kwa watu ambao watakuwepo maeneo hayo pamoja na chakula .Hawa wafanya biashara watatoa ushuru wa hapa na pale ili kuwezesha uendeshaji wa maeno haya kama kulipa bill za maji, umeme na wafanya usafi.

KWA NINI NIMEPENDEKEZA HIVI
Kwa Tanzania yetu outing imekuwa ngumu sana hasa kwa familia za watu wenye vipato vidogo na vya kati, kwa sababu ukitoka either uende kwenye mgahawa au bar kitu amabcho ghrama ni kubwa pia huwezi kwenda na familia yote maana ni maeneo ya watu binafsi

Lakini pia katika mizunguko ya hapa na pale watu huwa tunahitaji kupumzika kidogo, swali je uende wapi kukaa japo kwa nusu saa au saa nzima hamna, Maeneo haya yakiwepo yatakuwa yamesaidia wengi tofauti ilivyo sasa ambapo hatuna maeneo ya wazi ya kupumzikia ukiachilia machache sana yaliyopo.
 
Ni mawazo sahihi na ninakuunga mkono,sema Kuna tatizo kwenye jamii yetu. Matatizo hayo ni....
1. Uchafu. Jamii nyingi haziwajibiki moja kwa moja katika kutunza mazingira na kuepukana na kutupa taka hovyo.

2. Kutokujali/uzembe. Jamii nyingi za kitanzania Wana kauzembe flani hivi ka kihasara hasa ukizingatia wengi wamelelewa katika hali ya maisha ya chini so ile hali ya kujali miundo mbinu itakayowekwa bado ni changamoto. Utakuta baadhi wanang'oa vyuma na mabomba kwenda kuuza.
Baadhi wanakata na kuharibu maua,wengine kwenda mbali zaidi na kujisaidia hapo.

Nadhani sisi wenyewe ndo changamoto....acha tuzagae tupate akili kwanza.
 
Uko sahihi wengi tumelelewa mazingira ya kimaskini yasiyofuta sheria nk. Lakini pakiwepo na mkazo lazima watu watafuata tu.

Sahivi tunatia aibu watu wanatanyika tu kama mifugo. Bora hata magari yana parking ila watu sasa tabu tupu.
 
UTANGULIZI
Maeneo ya kupumzika ni mazuri kwa afya ya kili pia ustawi wa jamii yetu, Unajua pale mtu ambapo umetoka katika mizunguko au umechoka kukaa ndani kuna haja ya kuwa na maeneo huru ambayo mtu anaweza kupumzika bila buguza yoyote kwa mda Fulani, Maeneo yaliyo mengi yanamilikiwa na watu binafsi kama migahawa na bar amabapo mtu ukiende lazima ulipe kiasi fuani cha hela kupata huduma Fulani Fulani.

Kwa sasa nikiri kwa tanzania yetu hayo meneo hayapo rasmi ukiachana na fukwe za bahari nk amabazo kwa wengine mazingira siyo rafiki maana ziko mbali, lakini kuna maeneo Tanzania amabayo bahari na maziwa hamna hivyo kukosa sehemu watu wanaweza kupumzika kama familia au mtu mmoja mmoja…

NINI KIFANYIKE
Serikali inaweza kutenga maeneo ya wazi na kuweka miundo mbinu rafiki ambayo itawafanya watu wawe wanaenda kupumzika pale amabapo wameamua kubadilisha mazingiea au outing bila wasiowasi wowote, unajua unaweza ukawa katika mizunguko ukataka upumzike, ila ukiangaza macho huku na huku huoni sehemu free, hasa ukiwa mgeni maeneo yale ndo inakuwa balaa zaidi

Kwa mfano Dar es salama kwa sasa watu wanazagaa hovyo hovyo na kuvamia maeneo ya kupumzika mabayo hayako rasimi, mfano stand za mabasi, viwanja vya mipira, madaraja kama manzese na Pale buguruni utakuta watu wamejazana hawana hili wala lile, hata hizi fly overs imelazimu kuweka uzio kwa kuhofia yale yangekuwa makazi ya watu au sehemu za kupumzikia.

WAPI YAWEPO HAYA MAENEO
Kiufupi maeneo yote yenye mikusanyiko mikubwa na mwingiliano wa watu wengi, nitatoa mifano michache.
  • Maeneo yote yeneye mikusanyiko mikubwa ya watu.
  • Sehemu zenye biashara na ofisi nyingi mfano kariakoo kwa Dar.
  • Sehemu yoyote kwenye makazi ya watu ammbapo watu wanaweza kutoka kwenda kutuliza akili bila kulazimika kwenda kwenye eneo la mtu Binafsi.
  • Eneo lolote lile ambalo linafaa kwa watu kutpumzika.
View attachment 2724164
Mfano wa Eneo la wazi la kupumzikia

Gharama za ujenzi na uendeshaji
Ikumbukwe haya maeneo yatakuwa kama huduma kwa jamii kama ilivyo shule na Barabara naamini hayatakuwa mengi sana kwa sababu waalipa kodi ni sisi hakuna jambo litakaloshindikana kwa sababu yatajengwa kwa kiwango cha kawaida amabapo itaruhusu hata mtu kwenda na mkeka wake kupumzika.

Basi maeneo haya yakishajengwe na kutengwa huku yakiwa na huduma za muhimu kama vile umeme, maji chooo nk, serikali inanaweza kukaribisha wafanyabishara ambao watakuwa wanauza vitu vidogo vidogo kwa watu ambao watakuwepo maeneo hayo pamoja na chakula .Hawa wafanya biashara watatoa ushuru wa hapa na pale ili kuwezesha uendeshaji wa maeno haya kama kulipa bill za maji, umeme na wafanya usafi.

KWA NINI NIMEPENDEKEZA HIVI
Kwa Tanzania yetu outing imekuwa ngumu sana hasa kwa familia za watu wenye vipato vidogo na vya kati, kwa sababu ukitoka either uende kwenye mgahawa au bar kitu amabcho ghrama ni kubwa pia huwezi kwenda na familia yote maana ni maeneo ya watu binafsi

Lakini pia katika mizunguko ya hapa na pale watu huwa tunahitaji kupumzika kidogo, swali je uende wapi kukaa japo kwa nusu saa au saa nzima hamna, Maeneo haya yakiwepo yatakuwa yamesaidia wengi tofauti ilivyo sasa ambapo hatuna maeneo ya wazi ya kupumzikia ukiachilia machache sana yaliyopo.
✅🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom