Mapokezi ya Rais akitokea Marekani kwenye UNGA ni ufujaji wa kodi za walalahoi

mfumo wa serikali hii unaompa mamlaka makubwa rais ndio wa kulaumiwa hii yote ni kujipendekeza kulikopiltiliza kwa wasaidiz wa rais ili wabakie kwene nafasi zao au wapandishwe vyeo hakuna weledi na watendaji hawatumii critical thinking kwenye kufanya maamuzi, yapi, kwann, na kwa faida ipi.... na tatizo hili zinaanzia kwenye ngazi ya famili, linakomazwa kwenye muundo wa elimu zetu na mwishowe linakuwa sehemu ya tamaduni ya jamii yetu.. we need to change watanzania.

kila mtu awajibike kwa ajili ya familia yake na nchi yake kwa kufuata sheria na taratibu sahihi za nchi na sio kujipendekeza na ufitini ufitini tunajenga taifa la ajabu sana..
 
SUKUMA GANG mnateseka mkiwa wapi,Chato iwe mkoa sawa tu mtulie sasa
 
Kwani tunaposema raisi KIPUSA huwa amuelewi
 
Hizi ndio shughuli mzee wetu alikuwa hazifagilii maana ni mianya ya kujilipa tu hela! Warsha, semina sijui kongamano vyote lengo ni watu kugawana per diem ndio maana walikuwa hawampendi
Kweli yule mzee japo alikuwa na mapungufu yake lakini kuna mambo alikuwa sawa.
 
Kwani mkuu hapo imeambiwa patachinjwa ma ng'ombe na watu kufanya starehe mpaka useme ni ufujaji wa pesa ?
 
IPO haja ya tukio na ni muhimu kwa maslahi mapana ya nchi yetu ,mbona hamkuhoji elephant prac za chato!?
Hebu tuambie umuhimu wake ni nini. Usiseme tu kuna umuhimu halafu hauusemi. Mimi nimekuambia sio muhimu kwasababu ni ufujaji
 
Kwani mkuu hapo imeambiwa patachinjwa ma ng'ombe na watu kufanya starehe mpaka useme ni ufujaji wa pesa ?
Wewe inaonekana hujui jinsi mambo yanavyofaniyika na mimi sikutoi huo ujinga kwasababu waswahili husema "asiejua maana haambiwi maana".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…