Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,080
Mods naombeni msiifute maana maana hizi biashara zote zipo kihalali hizo nchi na zinatozwa kodi ambayo ni sehemu ya mapato ya nchi hizo zinazotumia kiasi flani kuwa misaada
Misaada hii tunayoipata kwa kiasi kikuwa huwa ni kutoka kwenye kodi za biashara za nchi husika, katika biashara hizo kuna ambazo zinafanya vitendo ambavyo vinakiuka maadili yetu iwe kwa dini, tamaduni, n.k. mfano.
Madanguro - Majumba maalum yanayohusika kutoa huduma za kingono, serikali zinachota kodi
Makampuni yanayotengeneza video za watu wazima - Haya ni moja ya makampuni yanayoongoza kulipia kodi, Kwa Marekani pekee mwaka jana makampuni haya yametengeneza takribani Dola bilioni 15 sawa na shilomgi trilioni 38,
Waigizaji wa filamu za watu wazima - na ni mpaka wale wa jinsia moja, wapo mabilionea wanafanya hizi shughuli kodi zao ni takribani nusu ya mishahara.
Wanaojiuza miili - Kwa nchi kama Marekani watu hawa wamesajiliwa kabisa, mteja moja hulipia takribani laki 3 kupata huduma, Serikali huchota kodi
Hospitali zinazobadili jinsia - Sio bure kufanyiwa hio huduma hugharimu makumi ya mamilioni, kiasi flani kinachajiwa kama kodi