Mapokezi ya Rais akitokea Marekani kwenye UNGA ni ufujaji wa kodi za walalahoi

Ninyi akili zenu bana 😁😁😁😁
ndowale mnachamba Kwanzaa alafu ndo mnakunya kwakuogopa uchafu wamavi yenu!!

we chekbob izovitu hapo Kenya tuu wanazo toka hujazaliwa nawala hawataharuki wale kumshobokea rais maana nikodi zao... Muache ushamba!

viwaname muende kumpokea mama pochi mumpigie na vigelegele si midume tutakuwa kazini
Wewe unahangaika bure,kwani akipokelewa wewe unaumia pumbu au unateseka na nini hasa?
 
Tulizoea kwenda kupokea ndege ambazo ndio zinabeba utambulisho wa nchi yetu, leo tunahamasishwa kumpokea mtu.hii maana yake ni kutaka kuhalalisha safari za nje za mara kwa mara.
 
Kwahiyo kumpokea ndugu yako akitokea Kantalamba pale standi ya mabasi Mbezi ni ufujaji wa hela?ukumbuke huyu ni Raisi wa nchi,ni mwanamke na kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi ameweza kuliwakilisha taifa UN...
Acha kantalamba, kwa hiyo we ukiwa na ndugu yako anatoka nje basi unaamrisha ukoo mzima, majirani na ndugu zako wa mkoani muende airport kumpokea??
 
Yaani kunawakati natamani nitafumue ubongo wa watumishi wa serikali nione vichwani mwao mnanini isije kuwa rais yupo na watumishi vichaa
 
Hii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki?

Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio la kufanya kuwa kama shughuli ya kitaifa? Kwanini lisingefanyika kwa protocol za kawaida tu?

Huu ni ufujaji wa kodi za walalahoi. Hizo gharama za hizi shughuli zingetumika kuwajengea wamachinga mnaowavunjia vibanda vyao maeneo mazuri wafanye biashara zao ili waondoke mabarabarani wanapofanyia biashara.

Kweli tulidhani kuwa tumemaliza kuyaona maajabu enzi za mwendazake kumbe sasa ndio tuna viongozi wanaojipendekeza kwa rais kiasi cha kufanya mambo yasiyo ya msingi kabisa.

Ongezeni tozo.

View attachment 1951669
Watanzani tusiwe majuha.

Kazi yake kutowa speech na amefanya vizuri hana haja ya kupokewa wala maandamano.
hawo wanaotaka kufanya hayo ni kujipendekeza.
 
Generation hii kazi za madaraka ya utawala ni za kike,wanaume laleni mletewe mkate kitandani.
 
Back
Top Bottom