Mapokezi ya Rais akitokea Marekani kwenye UNGA ni ufujaji wa kodi za walalahoi

Ndani ya muda mfupi AMEAJIRI vijana zaidi ya 8000 kupitia TAMISEMI +WIZARA YA AFYA....baada ya kupita miaka 6 bila ya AJIRA NYINGI......

#SiempreJMT
Hakuna mtu atamfika mama,sasa wamebaki kuweweseka mara tulifanya bila tozo mara sijui nini, yaani bure kabisa hao nguruwe..

Yote yanaenda bila kutukana,kudhalilisha,kuteka wala kupora watu fedha,,hadi 2025 Maza atawaaibisha wapuuzi wote
 
Hii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki?

Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio la kufanya kuwa kama shughuli ya kitaifa? Kwanini lisingefanyika kwa protocol za kawaida tu?

Huu ni ufujaji wa kodi za walalahoi. Hizo gharama za hizi shughuli zingetumika kuwajengea wamachinga mnaowavunjia vibanda vyao maeneo mazuri wafanye biashara zao ili waondoke mabarabarani wanapofanyia biashara.

Kweli tulidhani kuwa tumemaliza kuyaona maajabu enzi za mwendazake kumbe sasa ndio tuna viongozi wanaojipendekeza kwa rais kiasi cha kufanya mambo yasiyo ya msingi kabisa.

Ongezeni tozo.

View attachment 1951669
Huyu mswahili akipambwa hivyo kichwa inapata moto sna
 
Yaani hawa CCM akili zao kisoda hawana hata maana! Hivi huko UN unafikiri kuna cha bure? Bila kuwa na kiongozi mwenye matendo na kuachana na maneno na kwenda kujilizaliza huko! Hakuna cha bure mtaendelea kuzurura kama Kikwete! Na kuiacha nchi ikiibiwa tu!
Anauza sura tu
 
Hakuna mtu atamfika mama,sasa wamebaki kuweweseka mara tulifanya bila tozo mara sijui nini, yaani bure kabisa hao nguruwe..

Yote yanaenda bila kutukana,kudhalilisha,kuteka wala kupora watu fedha,,hadi 2025 Maza atawaaibisha wapuuzi wote
Aibu itawafika.....

Chifu Hangaya ni NYOTA KWELIKWELI....💪

Amewataka TRA kutumia akili kukusanya kodi na kuacha kutumia NGUVU ZILIZOPITILIZA NA ZISIZO NA WELEDI....hili nalo baya?!!! Khaaa 😲🤣

SIEMPREJMT
 
Anauza sura tu
FB_IMG_16307140795615105.jpg
 
Akili kimsukule kama hizi haziwezi kulitoa Taifa hapa lilipo hawa ccm sijui huwa wanawaza kwa kutumia nini????eti hotuba ya kishujaa inayoongelea kupewa dawa za chanjo zaidi huku wananchi wake wakisusia chanjo maajabu haya.
 
2935117_Screenshot_20210920-071732.png
 
Kuna useme ,unasema "Kila shughuli ina wenyewe".Na wenye shughuli ndiyo wamealikwa wahudhurie kwenye mapokezi.
Hilo Tangazo au bango sioni waliposema wananchi wote wa Dar es Salaam au Tanzania waende Uwanja wa ndege kumpokea Mheshimiwa Rais.
Kwa wale watakao hudhuria kwa niaba yetu,huo ndiyo ujumbe wa kumpa Mheshimiwa Rais.
Ni busara kwa wale watakaokwenda Uwanja wa ndege wabebe mabango ya pongezi na kumtia moyo Rais kwa hotuba mzuri aliyoitoa United Nations General Assembly (UNGA), Ni ukweli usiopingika, Mheshimiwa Rais ameupiga mwingi huko UN.
 
Akili kimsukule kama hizi haziwezi kulitoa Taifa hapa lilipo hawa ccm sijui huwa wanawaza kwa kutumia nini????eti hotuba ya kishujaa inayoongelea kupewa dawa za chanjo zaidi huku wananchi wake wakisusia chanjo maajabu haya.
Angeitwa Ikulu ya Marekani nadhani tungepigwa mawe
 
Back
Top Bottom