Mapito mawili magumu kwa wanaume ndani ya ndoa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,880
Reaction score
828,445
Preamble: For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu. Msanii

Nimeipenda sana hiyo nukuu ya Msanii kwenye uzi wake kuhusu ndoa yake... Imetoa majumuisho muhimu sana katika uhalisia wake! Very short and very clear

Sasa huko ndoani kuna haya magumu/ mapito mengine nawili kwa wanaume

1. Ukipitia changamoto cha kipato ajira na kazi.. Mwenza wako anaweza kukuvumilia na kukutia moyo lakini kaa ukijua haitazidi miezi mitatu

Mwanzoni mambo yataanza kwa kificho lakini taratibu yataanza kujiinua na kujiweka wazi zaidi

Zitaanza dharau ndogondogo
Vitafuatia vijembe katikati ya utani
Yatafuatia masimango ya kificho na hatimaye ya wazi
Kisha sasa yatakuja matusi na kashfa za wazi..

Kusemwa bila kosa.. Kuvunjiwa heshima, kunyimwa unyumba, kuitwa najina mabaya nknk..!

2. Ukizeeka hali mwenza wako bado ana nguvu

Umetumia nguvu zako maishani kumhudumia na kuihudumia.. familia ukafanya kila la kumfurahisha na kumliwaza kwa uwezo wako! Sasa umezeeka.. Huna nguvu tena za kuhudumu chumbani wala sebuleni.. Mwenza uliyempenda sana na kumpa kila kitu anakuona sasa wewe ni mzigo usiye na faida tena kwake!

Anaweza kukufanyia mambo ambayo hata shetani mwenyewe akiyaona anakimbia... Wengi wamekufa mapema kutokana na hii changamoto ya pili.

Kuchapiwa
Kusimangwa
Kunyimwa vyakula vyote
Kukashfiwa

Kutohudumiwa nknk .. Ni baadhi tu ya mambo yanayoweza kukutokea uzeeni

Naomba nikatishe mada yangu na kurudia nukuu ya Msanii

For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
 
Hata mimi nimeusoma uzi wake. Hakika umenipa tafakuri kubwa sana kuhusu mahusiano kwa ujumla , ingawaje sipo kwenye mahusiano
 
Maisha ya mwanaume mara nyingi ni kama mfano wa kopo la chooni......ni agharabu sana kuthaminiwa baada ya matumizi bali wengi hutendwa vibaya baada ya kutimia kwa makusudio........

Na unyama mwingi kwenye hayo upo kwenye gereza la ndoa ambapo kwa nyakati hizi ni agharabu kumpa mwenza mwema mwenye kuhifadhi na kuweka kumbu kumbu ya fadhila vifuani mwao.........

Mwanaume unaweza kujitahidi kuyabeba majukumu kwa kadri ya uwezo wako lakini ni nadra sana kunufaika na jitihada hizo zaidi ya dhihaka, kejeli na madharau kutoka kwa wale uliotumia muda wako mwingi kuwapambania!!!

Kwa kweli dunia ni nzito kwa mwanaume.....dunia ni kambi ya mateso kwa mwanaume!!

Mungu awajaalie na kuwabariki wenza na wake wote wanaotambua, kuthamini na kuuenzi wema, mchango na juhudi za waume zao!!!!
 
Tokea juzi shemeji yenu kaninunia!!! Hapa penyewe nimejihangaisha weee anipe cha asubuhi ila holaaa!!, Kujifariji nimekuja JF nashukuru post ya kwanza nakutana nayo imenigusa moja kwa moja!!!

Ama kweli "Ukipata mwenza sahihi mbingu itahamia chini ya dari lenu, ila ikiwa kinyume chake utatamani ujitoe jehanamu lkn haitawezekana!!"😥
 
Preamble: For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu. Msanii

Nimeipenda sana hiyo nukuu ya Msanii kwenye uzi wake kuhusu ndoa yake... Imetoa majumuisho muhimu sana katika uhalisia wake! Very short and very clear

Sasa huko ndoani kuna haya magumu/ mapito mengine nawili kwa wanaume
1. Ukipitia changamoto cha kipato ajira na kazi.. Mwenza wako anaweza kukuvumilia na kukutia moyo lakini kaa ukijua haitazidi miezi mitatu
Mwanzoni mambo yataanza kwa kificho lakini taratibu yataanza kujiinua na kujiweka wazi zaidi

Zitaanza dharau ndogondogo
Vitafuatia vijembe katikati ya utani
Yatafuatia masimango ya kificho na hatimaye ya wazi
Kisha sasa yatakuja matusi na kashfa za wazi..
Kusemwa bila kosa.. Kuvunjiwa heshima, kunyimwa unyumba, kuitwa najina mabaya nknk..!

2. Ukizeeka hali mwenza wako bado ana nguvu
Umetumia nguvu zako maishani kumhudumia na kuihudumia.. familia ukafanya kila la kumfurahisha na kumliwaza kwa uwezo wako! Sasa umezeeka.. Huna nguvu tena za kuhudumu chumbani wala sebuleni.. Mwenza uliyempenda sana na kumpa kila kitu anakuona sasa wewe ni mzigo usiye na faida tena kwake!

Anaweza kukufanyia mambo ambayo hata shetani mwenyewe akiyaona anakimbia... Wengi wamekufa mapema kutokana na hii changamoto ya pili.
Kuchapiwa
Kusimangwa
Kunyimwa vyakula vyote
Kukashfiwa
Kutohudumiwa nknk .. Ni baadhi tu ya mambo yanayoweza kukutokea uzeeni

Naomba nikatishe mada yangu na kurudia nukuu ya Msanii

For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na itajidhihirisha kwenu.
True say brother
 
Oa mtu mtakayezeeka pamoja, upo 40 unaoa binti ana 18, ukifika 60 mwenzako bado mbichi kabisa ndio analitaka tango huku wewe umechoka.

Swala la kuyumba kiuchumi halina kuepukwa, yoyote anaweza kuyumba tu. Ila ukiweka kahaba ndani ya ndoa umekwisha.

Msanii yupo sahihi, maneno ya kweli kabisa.
Ila ukiweka kahaba ndani ya ndoa umekwisha.🥺🥺🥺🤔😩😩😩
 
Tokea juzi shemeji yenu kaninunia!!! Hapa penyewe nimejihangaisha weee anipe cha asubuhi ila holaaa!!, Kujifariji nimekuja JF nashukuru post ya kwanza nakutana nayo imenigusa moja kwa moja!!!

Ama kweli "Ukipata mwenza sahihi mbingu itahamia chini ya dari lenu, ila ikiwa kinyume chake utatamani ujitoe jehanamu lkn haitawezekana!!"😥
😂😂😂.... kwahyo kunyimwa tu ndo unapiga msumari wote huu
 
Mkuu mwanamke si ndg Yako ni kama rafiki mmekutana nae ukubwani, usimzingatie na kujipa matarajio sana itakuumiza mbeleni, na jitahidi kujiwekea plan b ya ulinzi wa kiuchumi ambayo unaijua peke Yako tu ambapo hata ikiyumba huku unakuwa na pa kuchomokea. Mfano Mimi plan yangu ni kuhakikisha Nina trust funds ya akiba kubwa na hiyo nitaendelea kuidunduliza kimya kimya mpka uzeeni
 
You're right bro, absolutely, tatizo mwanaume rijali lazima upitie huko, tatizo laja, UMEPATA.MWENZA SAHIHI?!
Hata uwe makini kivipi hutajuwa, makucha ya wake zetu yaja baada ya kuolewa, kuzaa na kuzoaena.
Wahenga wanadai, kupata mke sahihi ni Bahati!
 
Back
Top Bottom