Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Nilipo BLUE.
Nimeipenda sana kauli hii.
Je ukiwekeza kwene uwongo na propaganda za kizandiki utapata nini?
L
akin nitakusaidia zaidi kukwambia HISTORIA sio nadharia bali ni matukio yaliyojitokeza huko nyuma na ni lazima kuyarejea kwani ndanimwe kuna misingi ya UHURU wenu. Ndio maana tunaiheshimu na kuithamini sana historia kwa kuyaona yote mazuri na mabaya yake na kuyatendea yote haki zake kuhakikisha kile kibaya kinapotea na mema yanaimarika kwa kutumia kaanun ya uwazi na ukweli.
nafikiri umeiona kathia ya Znz ambako bila waZnz kuziona tofauti zao na kutafuta suluhu mpaka leo yangekuwepo na yangezidi kudumaza maendeleo ya jamii. Hiyo ndio historia na huo ndio umuhimu wake.
Waswahili wanasema. Mdharau mwiba ...
Wewe unafikiri nani ni muongo na mzandiki na anastahili kubeba lawama hizo unazojaribu kumtupia?