Mapinduzi ya Zanzibar yako hatarini.. Wazanzibari wamelala...

Mapinduzi ya Zanzibar yako hatarini.. Wazanzibari wamelala...

Mkuu Baru, Barubaru, nadhani wewe ni miongoni mwa watu wanaotakiwa kuwa na shurani kwa muungano, mimi pia ni product ya Tambaza na Ilboru, sipati picha wewe ulikuwa ni mwanafunzi wa aina gani?!, ila ninachokijua kuhusu wewe kwa sasa, hayo mafakio yote uliyonayo sasa, yako contributed na Tambaza, Ilboru na JKT!, ambazo zote ni taasisi za huku bara, kwa hili tuu la elimu, pekee, mtu mwenye shukrani, alipaswa kushukuru na sio kukashifu!.

Kuna mengi yaliyofanywa baada ya mapinduzi, hayatamkiki, hayasemeki, hayazungumziki na hayaandikiki!, subirini muungano uvunjike, kuna wengine watatafuta pa kutokea na njia wasiione!.

Ama kweli, mkataa pema, pabaya panamuita!.

Let Zanzibar Go!

Pasco.
Wanabodi,

leo ndio siku yenyewe ya maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Mimi salaam zangu rasmi,nilizituma humu jana Zitto Mshauri OMO kuwa Pragmatist,Acheni Ujinga Pelekeni Majina ya SUK, Kususa Hakusaidii KITU zikiandamana na makala ya gazetini

Leo, nadurusu tuu, niliwahi kusema nini kuyahusu,mapinduzi matukufu ya Zanzibar。

Nawatakia Watanzania wote,mapumziko mema ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Paskali
 
Back
Top Bottom