Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,364
- 11,520
Zanzibar haiwezi kupata maendeleo kamwe iwapo Baba wa mapinduzi matukufu Okello hatoenziwa na kutengwa siku maalum ya kumbukuzi Mohamed Said
Hebu tupe madiniMasihara hayo okello alikuwa askari kanzu (askari wa kukodi)alipewa chake akaleta tamaa wakamkimbiza
Nyie wabara ambao mnamkumbka baba yenu mnamaendeleo gan?
Unaitwa ukweli mchungu! InaumaNdo tunawalisha nyie
Tunawapa umeme
Tunawalinda
Tunawapangia rais
Tunawatawala
Nyie wabara ambao mnamkumbka baba yenu mnamaendeleo gan?
Mmeambiwa mumukumbuke baba yenu wa taifa unaanza maneno au ndio laana ya baba yenu wa taifa okello inawatafuna
zanzibar iache ukaidi
Siku wazanzibar wakilivua koti la muungano sijui mkoloni mweus kama atawauwa wazanzibar wote au atawaacha maisha yaendelee.
jibu swali maneno mengi ya nini.Mmeambiwa mumukumbuke baba yenu wa taifa unaanza maneno au ndio laana ya baba yenu wa taifa okello inawatafuna
Mmeambiwa mumukumbuke baba yenu wa taifa unaanza maneno au ndio laana ya baba yenu wa taifa okello inawatafuna
Siku wazanzibar wakilivua koti la muungano sijui mkoloni mweus kama atawauwa wazanzibar wote au atawaacha maisha yaendelee.
Ndo tunawalisha nyie
Tunawapa umeme
Tunawalinda
Tunawapangia rais
Tunawatawala
Kwa hiyo unataka kusema raisi wa zanzibar anachaguliwa bara, wao wanapanga tu foleni kumthibitisha
Kwahyoo hayo ndo maendeleo.? Hebu jiulze kwann zanzbar hakuna ombaomba wa hovyohovyo km kwenu.?Ndo tunawalisha nyie
Tunawapa umeme
Tunawalinda
Tunawapangia rais
Tunawatawala
Nyie wenywe mnashindwa kujitawal mtaweza kutawala watu wengne?Ndo tunawalisha nyie
Tunawapa umeme
Tunawalinda
Tunawapangia rais
Tunawatawala