Mapepo ya JF

Mapepo ya JF

Pepo la unafiki -mtu anapinga kitu hadharani, faraghani anakifanya kimya kimya.

Na kubwa kuliko yote ni pepo la kutokujitambua—ndilo mama wa yote.
 
Pepo la unafiki -mtu anapinga kitu hadharani, faraghani anakifanya kimya kimya.

Na kubwa kuliko yote ni pepo la kutokujitambua—ndilo mama wa yote.
Mtu anapinga wenzie kujiuza/kudanga jf wakati na yeye anataka,analombwa freshy tu ila wenzie aanh! Matokeo yake anakuja na id nyingine kuiuza waziwazi! pepo la umalaya wa kimya kimya hili🤣
 
Back
Top Bottom