Hivi siku zake za uzeeni hakutembelea mkongojo kweli?Maana centre bolt yake sijui kama haikupata rabsha!Hilo halina tiba ni pepo la ujana ni pepo la kiumeni.. Lina baraka zakeš¤£ššæ
Babu yetu mshua wetu mfalme Suleiman alikuwa na wake halali wa ndoa 700 lakini bado akawa na michepuko 300 na bado akamgonga mke wa mjakazi wake!š
š UmeanzaJiwe kizanišššæ
Pepo letu hilo.Mimi naomba nisipungwe hili pepo.Mniache nife nalo.
Hivi siku zake za uzeeni hakutembelea mkongojo kweli?Maana centre bolt yake sijui kama haikupata rabsha!
Alikuwa ngangari sana.Biblia inaeleza kuwa Sulemani alikufa kwa amani baada ya uongozi wa miaka 40 na kuzikwa katika Mji wa Daudi. Wasomi wanakadiria alikuwa na umri wa kati ya miaka 60 hadi 80 wakati anafariki
Sina ila huwa naona liko vzrš«¢Pepo la kujichua?š„ŗš„ŗš¤£ššæ
Mpaka kwenye issues za matani unaleta mambo serious!!! š¤£š¤£š¤£Hakuna mapepo.
Hakuna Mungu.
Mmhh !!Sina ila huwa naona liko vzrš«¢
Popote atakapotajwa Mungu ni kama unakuwa notified š¤Hakuna mapepo.
Hakuna Mungu.
Mba!Mmhh !!
Hivi,kwa mfano nikitaka nitupiwe pepo kama hili itanigharimu bei ngapi?
Jamaniš«¢ utaharibu celibacy mkubwa!To!š¤£