Ulisahau kuliweka kwenye orodhaPepo LA kukesha 🥱
Noma sana mgangaMganga hajigangi
Mnawatuhumu bure tu, juzi kati hapa mwenzenu aliyeoa bikira amekuja hapa analia kwamba amegongewa! Haina formula mkuu hiyo ni hurka za watu haijalishi awe bikira au singo maza kama ana tabia ya kugongwa anagongwa tu!Inaonekana umeoa single mom
Mkuu umelewaInakatika kidogo inarudi tena. Sasa hivi inaanza tena ilikuwa imekatika kama nusu saa!
Hizi simu mkuu ni taabu tu! Kumbe nimejibia huku wakati nilikuwa najibu sms! Hatari sana ong'wise!😁😁😁😂😂😂Mkuu umelewa
Siku hizi vijana hawataki kuoa kabsa.... sijui shida ni nini? Kukwepa majukumu au uoga wa maisha...?Pepo la umbea/udaku (mafaili buku)
Pepo la kukataa ndoa
Pepo la kujichua
Pepo la uchawa
Pepo la upigaji
Pepo la uzushi
Pepo la ushoga
Ongezea yaliyosahaulika
NB: pepo la ushirikina, uchawi na ulozi limedhoofika sana baada ya wadau wake kutubu na kuokoka
Hizi simu mkuu ni taabu tu! Kumbe nimejibia huku wakati nilikuwa najibu sms! Hatari sana ong'wise!😁😁😁😂😂😂
Nabii usiye jitangaza, mwenye roho ya unabii ndani yako, unayeona kusiko onekana, unayesikia sauti hata kutoka kwenye empty cd, hakika umenena vyemaPepo la umbea/udaku (mafaili buku)
Pepo la kukataa ndoa
Pepo la kujichua
Pepo la uchawa
Pepo la upigaji
Pepo la uzushi
Pepo la ushoga
Ongezea yaliyosahaulika
NB: pepo la ushirikina, uchawi na ulozi limedhoofika sana baada ya wadau wake kutubu na kuokoka
Likewise bro... kilingeni hali ikoje huko?You are missed brotherView attachment 3582986