Mapepo ya JF

Mapepo ya JF

Unapenda sana kusisitiza wanafique wako wakifika waanze kunichambua kama wamenizaašŸ˜
Wanafique WangušŸ˜‚
b32c1d62-da65-4a85-a1b0-4f68347da3e7.jpeg
 
Pepo la umbea/udaku (mafaili buku)
Pepo la kukataa ndoa
Pepo la kujichua
Pepo la uchawa
Pepo la upigaji
Pepo la uzushi
Pepo la ushoga
Ongezea yaliyosahaulika
NB: pepo la ushirikina, uchawi na ulozi limedhoofika sana baada ya wadau wake kutubu na kuokoka
Mkuu uzi wako hujaetendea haki, maana pepo kuu kuliko yote hujalitaja!
Pepo la kushabikia fisi em na jipya la kuikubali ripoti ya chaji hamnde
 
Pepo la kuanzisha uzi alfajiri wenzio tukiwa morning glory.
 
Mkuu uzi wako hujaetendea haki, maana pepo kuu kuliko yote hujalitaja!
Pepo la kushabikia fisi em na jipya la kuikubali ripoti ya chaji hamnde
Yasindweee
Yalegeeeee
Yakondeee
Yagh'onyeee
Yakufeeee
 
Back
Top Bottom