Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,332
- 176,114
Hela unazo au unaleta ukichaa tu!?Kiburi bila hela ni wendawazimu

Kwa lugha ingine amefuzu kinyang’anyiro hiko cha mapenziHapo sasa ushakuwa mzoefu sasa
Nilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta
Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kitombiii sana hapq mtaani!!
Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu
Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!
Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.
Kila mtu kaenda kivyake!!
Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!
Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!!
ila ndo hivo kanilia buyu![]()
Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma![]()
Dah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.
Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.
Teh teh Wakurungwa polenisio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi![]()
😀😀😀😀Hayana comando kwakweli![]()
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!! ila ndo hivo kanilia buyuNilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta. Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kicheche sana hapa mtaani!!
Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu
Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!
Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.
Kila mtu kaenda kivyake!!
Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!
Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!!ila ndo hivo kanilia buyu
Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma![]()
Karibu kwenye ulimwengu wa mapenzi ambapo kuomba msamaha sio lazima umekosea.Ujue nashindwa kuomba msamaha kwasababu hata sijakosa mm!! Unaombaje msamaha na huna makosa
Pole sana
Pole sana mjubahhii mambo ya ma Luv ni kisanga eti
Relaaaaaax ukijikaza sana sindano itavunjikaNilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta. Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kicheche sana hapa mtaani!!
Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu
Tulivoingia kwene mahusiano kanihakikishia niko mwenyewe kwanza mi ndo mpenzi wake wa pili!!
Eeh juzi nimeshika simu yake nikakuta namba imeandikwa jina la yule jamaa nikasala kumuuliza akapanik tukazinguana.
Kila mtu kaenda kivyake!!
Wiki sasa imepta sijamtafuta nimefuta na namba zake !!
Ila naumia aisee !! Kuna namna kanizoesha nai nai ambazo ckua nimezoea!! Sasa najaribu kujiweka busy namsahau sekunde nikikumbuka naaaumia!!! Stress
Kaa zote
Kuna muda nataman anitafute aniombe msamaha yaishe!!ila ndo hivo kanilia buyu
Aisee hamna mgumu mapenzi yanauma![]()
Jiongeze kaka,Omba msamaha ili mrudiane alaf tafuta mpenz taratibu alaf ndo uje umuache weweUjue nashindwa kuomba msamaha kwasababu hata sijakosa mm!! Unaombaje msamaha na huna makosa
Ukiwa mzembe kihisia hivi hakuna mwanamke atakulewa. Unakuwaje mzembe hivi?! Ina maana kichwa chako kinawaza mapenzi badala ya maisha sasa mwanamke gani atakuhitaji wewe?!
Wakuzugia wana ng'ang:aniaga hao na mimba juu

ulikamatwa wewe heheee