1.Epuka kudate na pisi kali zaidj yaani tafuta demu wa kawaida,
2.epuka kusikilizia Sana,ile kitu muda mwingine sex aombe yeye.wengine hushindwa kumtamkia mwanamume ila wewe tengeneza mazingira ili mradi aanze yeye
3.kuwa busy siyo unamtext kila muda mara video call huko wasapu .wakati mwingine subiri akutafute
4.Usikurupuke tengeneza mazingira ya kupendwa na siyo kupenda hapa panawasumbua wengi mno
5.Kuwa mwenye mikato mwanamume wa kweli hawi muongeaji
6.Mpe Hela,mpe pesa,Naaam! Mpatie vitu anavyopendelea[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]