Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

Uliowakataa ukiakataa kwa style gani...ka.a in a friendly way tafuta njia tu uconmect nao ila kamauliwatusi basi hakuna namna
 
Pole ndugu, though si wote, wapo wanaume wanaotendwa na kuona pia wanawake si watu..

Piga moyo konde, stress uzishende, bado safari ndefu ya milima na mabonde.. Sahau ili uanze maisha mapya..

Jambo baya wanalokosea watu wote ni kupenda n trustn kwa asilimia zooote, hilo kosa, matokeo yake ndio kujinyonga baada ya kuachwa.

Pole sana best, pole ya dhati toka moyoni, najua kiasi gani imekuuma
 
Ohooo.....nawe usije ukawa mhanga wa Nyani Ngabu😀😀.

Manake mko wengi ati!

USA baby
flag_usa.gif
flag_usa.gif
flag_usa.gif
Mkuu nafurahi sasa umeanza kuelewa tactics za MMU babes,inaitwa JILENGESHENISATION,kwa hiyo hapo wewe tulia kama unanyolewa halafu subiri kitu kiingie kingi.
 
pole sana jaribu kujichanganya na marafiki na epuka kukaa alone usikurupuke kutafuta wa kuziba pengo( wakukufariji)utakuja juta tulia na fanya yako kwa ajili ya maendeleo yako usipoteze muda kumfikiria ndege aliye jipeperusha mwenyewe utakonda bure
Duuh sasa wanaume wa jukwaa hili umewawekea KAUZIBE.
 
Shooga usilie tena piga moyo konde sema bas alafu jiongezee machoz ulio lia ayata enda bure all the best
Baby mwambie ashagaike tena,mfundishe ile mapenzi yetu kwa njia ya posta,hakika atanenepa na kuchekelea.
 
Yaan nimeachwa kwenye mataa mapenzi yanauma jamani yaani nimekaa na huyu mwanaume kwa miaka mitano nimekataa wanaume kibao ambao alikua wanani-approach wakiwa na nia njema nahisi nimechanganyikiwa sielewi wapi pakuanzia.

Nimelia hadi sauti imekauka i regret the day i said yes to him. Wanaume shikamooni sikuwai kudhani kuwa alikua na mahusiano nje, kha nimepata life time lesson wanawake wa humu muwe macho hapa nawaza ningekua nimemzalia daaah ningekua na hali gani nahisi ningechizi.

Hebu wanajammii nishaurini ntamsahauje huyu maana naona kama siwez siku ya nne leo am not myself. Yaan kadiriki kumpa simu mwanamke wake mpya waniambie kuhusu uhusiano wao mapenzi yauma jamani najiuliza nina tatizo gani jaman jaman nitamsahauje huyu.........
Itakuwa una tabia mbaya tu maana nyie watu kila siku kulalamika mnaonewa mwisho jamaa kakuchoka.
 
Get a life. Ulimfanya yeye kuwa maisha yako kwa miaka 5, ni sawa kuumia kwa sababu anaependa mabadiliko ni mtoto aliejikojolea pekee.

Sasa lia umalize kabisa. Usimlilie mwaka mzima. Halafu kuwa busy. Tafuta Shule usome (ziko nyingi online), piga kazi hadi boss wako ama wenzio wakushangae. Sali, hudumia yatima na wajane. Utashangaa Amani utakayopata na Nani ajuae utakutana na Mr right huko huko.
 
Love happens faster than you could ever think
From always and forever to never again in less than a blink!
And you find yourself addicted to the way you felt when you spent time together, detouring the now in a childish attempt to find forever...
Pole sana dada mapenzi ni uchizi wa mda mfupi yajao kama tetemeko la ardhi, yatautikisa moyo hata kwa sekunde lakini madhara hubaki makubwa pale yatapo koma.
Usiumie sana kwenye hili both men and women can be either victims or perpetrators.
 
Jamani swala la mapenzi na kuachika mbona siku hizi ni kawaida tu kwa mapenzi ya kibongo ndoa zenyewe asilimia 95 ziko mahututi watu wanavumiliana tu kwa vile wanawatoto mtu anaangalia watoto zaidi .Itakuwa wewe dada huna hata mtoto nae ?mapenzi mazuri ni ya wenzetu majuu tu ya mkataba mkataba ukiisha kama umeshindwa unaruhusiwa kupita hivi kwa amani kabisa.usiwe mshamba wa mapenzi asilimia kubwa ndivyo yalivyo kuacha na kuachwa ni game za kawaida mbona piga moyo konde wako anakuja ukiona hivyo jua alikuwa sio wako usilazimishe kuna madhara yake makubwa baadae.
 
so ningemwambia atafute ndege mwingine sio??????
Ndo maana yake Mkuu,maana hili ni jukwaa la mapenzi,ukiona mtu analia lia humu jukwaani ujue anatafuta wa kumfariji,na hasa ukizingatia mtu keshaumizwa huko,kilichobaki ni kupata bwana wa kumliwaza na maneno mataamu,na pia ikibidi apate ile kitu roho inapenda ili kuondoa ugwadu,na mwisho atamsahau yule boya aliomuumiza.
 
Yaan nimeachwa kwenye mataa mapenzi yanauma jamani yaani nimekaa na huyu mwanaume kwa miaka mitano nimekataa wanaume kibao ambao alikua wanani-approach wakiwa na nia njema nahisi nimechanganyikiwa sielewi wapi pakuanzia.

Nimelia hadi sauti imekauka i regret the day i said yes to him. Wanaume shikamooni sikuwai kudhani kuwa alikua na mahusiano nje, kha nimepata life time lesson wanawake wa humu muwe macho hapa nawaza ningekua nimemzalia daaah ningekua na hali gani nahisi ningechizi.

Hebu wanajammii nishaurini ntamsahauje huyu maana naona kama siwez siku ya nne leo am not myself. Yaan kadiriki kumpa simu mwanamke wake mpya waniambie kuhusu uhusiano wao mapenzi yauma jamani najiuliza nina tatizo gani jaman jaman nitamsahauje huyu.........

duh!!! jamaa kajigegedea free papuchi miaka 5. pole sana binti. the lesson hapo is simple mwanaume ndani ya miaka miwili bwana anajua kama wewe mke au sio mke to be. so next relationship hakikisha within 2 yrs jamaa awe ametangaza ndoa.
kuhusu jamaa kuhusu kugegeda nje, am sory to say this but its just something u will have to deal with even in ur next relationship
 
Yaan nimeachwa kwenye mataa mapenzi yanauma jamani yaani nimekaa na huyu mwanaume kwa miaka mitano nimekataa wanaume kibao ambao alikua wanani-approach wakiwa na nia njema nahisi nimechanganyikiwa sielewi wapi pakuanzia.

Nimelia hadi sauti imekauka i regret the day i said yes to him. Wanaume shikamooni sikuwai kudhani kuwa alikua na mahusiano nje, kha nimepata life time lesson wanawake wa humu muwe macho hapa nawaza ningekua nimemzalia daaah ningekua na hali gani nahisi ningechizi.

Hebu wanajammii nishaurini ntamsahauje huyu maana naona kama siwez siku ya nne leo am not myself. Yaan kadiriki kumpa simu mwanamke wake mpya waniambie kuhusu uhusiano wao mapenzi yauma jamani najiuliza nina tatizo gani jaman jaman nitamsahauje huyu.........

Tatizo lako ndo tatizo langu,ni pm tuyajenge upya
 
Ndo maana yake Mkuu,maana hili ni jukwaa la mapenzi,ukiona mtu analia lia humu jukwaani ujue anatafuta wa kumfariji,na hasa ukizingatia mtu keshaumizwa huko,kilichobaki ni kupata bwana wa kumliwaza na maneno mataamu,na pia ikibidi apate ile kitu roho inapenda ili kuondoa ugwadu,na mwisho atamsahau yule boya aliomuumiza.
ulikuwa kwenye process za kutupa ndoano nn
 
Yaan nimeachwa kwenye mataa mapenzi yanauma jamani yaani nimekaa na huyu mwanaume kwa miaka mitano nimekataa wanaume kibao ambao alikua wanani-approach wakiwa na nia njema nahisi nimechanganyikiwa sielewi wapi pakuanzia.

Nimelia hadi sauti imekauka i regret the day i said yes to him. Wanaume shikamooni sikuwai kudhani kuwa alikua na mahusiano nje, kha nimepata life time lesson wanawake wa humu muwe macho hapa nawaza ningekua nimemzalia daaah ningekua na hali gani nahisi ningechizi.

Hebu wanajammii nishaurini ntamsahauje huyu maana naona kama siwez siku ya nne leo am not myself. Yaan kadiriki kumpa simu mwanamke wake mpya waniambie kuhusu uhusiano wao mapenzi yauma jamani najiuliza nina tatizo gani jaman jaman nitamsahauje huyu.........

Dada wenzio kule IG wametoa ushuhuda kwamba ukinywa haja ndogo yako ukanuia kumsahau inatokea matokeo ndani ya siku mbili tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom