Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,943
- 15,678
Mbona tunaridhika sana tu mdadahamna cha sababu wala nini..tamaa zenu Tu kila k mwataka kuonja wanaume hamridhiki
Mbona tunaridhika sana tu mdadahamna cha sababu wala nini..tamaa zenu Tu kila k mwataka kuonja wanaume hamridhiki
SI mnasemaga nature ya mwanaume hawez kuwa na mwanamke mmoja..ndo kutokuridhika kwenyewe ukoMbona tunaridhika sana tu mdada
Yaani kuna siku nilisha wahi kuachwa na demu nili data hadi nikamtafuta mwanasaikologia akanipa msaada japo msaada wake kwa kiasi flani ulinisaidia now na miaka 7 sijawah kuwa na mahusiano na mwanamke [color=rednikiwa na shida naenda ilala naende kuchukua mzingo wa buku mbili jero natulinza mtima wangu![/color]
kweli wewe jambaziKukaa kwa muda mchache na mwanamke na kumpiga kibuti unaona ujanja ehhh......sio sahihi sanaTena kijitahidi sana 5yrs kwenye mahusiano kwel.....mm mwanamke ni miez mitatu tu nishampiga kibuti
Umemshauri vyema, epuka sana sana kumtafuta wa haraka kuziba pengo huyo wakumfariji anaweza akampotezaaa na to take advantages, ajikite kuwa busy sana atasahau mapemapole sana jaribu kujichanganya na marafiki na epuka kukaa alone usikurupuke kutafuta wa kuziba pengo( wakukufariji)utakuja juta tulia na fanya yako kwa ajili ya maendeleo yako usipoteze muda kumfikiria ndege aliye jipeperusha mwenyewe utakonda bure
Anatafuta ushauri, situation ambayo inamkabili ni ya hofu, ni lazima atafute ushauri ulitakaje aende wapi....Kwa hiyo ndio umekuja kusema umu sio?? Sasa wife mpya atakupigia simu tena akueleze ulipokosea!!
By your 5yrs X.
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
njoo kwangu utamsahau tatizo na nyinyi mnajifanya mnawapenda sana masharobaroYaan nimeachwa kwenye mataa mapenzi yanauma jamani yaani nimekaa na huyu mwanaume kwa miaka mitano nimekataa wanaume kibao ambao alikua wanani-approach wakiwa na nia njema nahisi nimechanganyikiwa sielewi wapi pakuanzia.
Nimelia hadi sauti imekauka i regret the day i said yes to him. Wanaume shikamooni sikuwai kudhani kuwa alikua na mahusiano nje, kha nimepata life time lesson wanawake wa humu muwe macho hapa nawaza ningekua nimemzalia daaah ningekua na hali gani nahisi ningechizi.
Hebu wanajammii nishaurini ntamsahauje huyu maana naona kama siwez siku ya nne leo am not myself. Yaan kadiriki kumpa simu mwanamke wake mpya waniambie kuhusu uhusiano wao mapenzi yauma jamani najiuliza nina tatizo gani jaman jaman nitamsahauje huyu.........
Me niliombeshwa msamaha😂😂😂😂 by the way unaendeleaje kwa sasa?Yaan nimeachwa kwenye mataa mapenzi yanauma jamani yaani nimekaa na huyu mwanaume kwa miaka mitano nimekataa wanaume kibao ambao alikua wanani-approach wakiwa na nia njema nahisi nimechanganyikiwa sielewi wapi pakuanzia.
Nimelia hadi sauti imekauka i regret the day i said yes to him. Wanaume shikamooni sikuwai kudhani kuwa alikua na mahusiano nje, kha nimepata life time lesson wanawake wa humu muwe macho hapa nawaza ningekua nimemzalia daaah ningekua na hali gani nahisi ningechizi.
Hebu wanajammii nishaurini ntamsahauje huyu maana naona kama siwez siku ya nne leo am not myself. Yaan kadiriki kumpa simu mwanamke wake mpya waniambie kuhusu uhusiano wao mapenzi yauma jamani najiuliza nina tatizo gani jaman jaman nitamsahauje huyu.........
Tena kijitahidi sana 5yrs kwenye mahusiano kwel.....mm mwanamke ni miez mitatu tu nishampiga kibuti