Mapenzi hayana baunsa

Mapenzi hayana baunsa

Aaaataaaaaarudiiii atarudi maaamaaa aaaataaaaaarudiiii anawaletea zawadi..
 
Kwa wote mliopoteza muda kuchangia na kumpa pole huyu komamanga polenii😂😂😅
 
Kwa wote mliopoteza muda kuchangia na kumpa pole huyu komamanga polenii😂😂😅
Do you mean hayajanikuta..?
Unaelewa nimetendwa kiasi gani..?
Unajua maumivu ya mapenzi wewe..? Kuachwa pasikie tu
 
Polee broski
Ahsante na yaishie hukuhuku sawa dada..? Haya mambo yasifike nyumbani mi sitaki maombezi ya bi mkubwa si unajua sala zake za fire fire fireeeeeeee!
 
Back
Top Bottom