Natafuta hela?

Natafuta hela?

Miaka 30 na uvulana sicheki na maisha
 
Screenshot_20260703-184224.png
 
Mapenzi kwangu hayana maana na sitaki kuumizwa bora tu nipende hela natunza uvulana wangu
Gentleman,
ukiona uvulana unakusumbua sana, suluhisho la pekee la kudumu ni kufunga ndoa na mwanamke, na Mungu Mwenyezi wa Milele atabariki ndoa uzao wako, atabariki kazi za mikono yako, atabariki kazi za kimwili na roho yako, na atakujaza Neema na Baraka zake ele katika shughuli zako za utafutaji pesa na uzalishaji mali na watoto 🐒
 
Usipoteze muda Tafuta anaekupenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom