Embu Fikiria Tu

Embu Fikiria Tu

Mike A Mugilanetza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2023
Posts
578
Reaction score
1,138
IMG_20170528_153741.jpg

Oooh Mapenzi hayana umri haya ona sasa.

Mtu na akili zake kaamua kuwa Last Born katika familia ambayo yeye mwenyewe ni Baba.

Ukumbuke familia hii hajaianzisha yeye bali kajiunganishia juu kwa ju.

Sasa analea Watoto ambao kiumri ni kaka zake.

😁😁Ushamjua ?
 
View attachment 3588919Oooh Mapenzi hayana umri haya ona sasa.
Mtu na akili zake kaamua kuwa Last Born katika familia ambayo yeye mwenyewe ni Baba.

Ukumbuke familia hii hajaianzisha yeye bali kajiunganishia juu kwa ju.

Sasa analea Watoto ambao kiumri ni kaka zake.

😁😁Ushamjua ?
Taja mwenyewe 'kumwaga mtama' ili wadau washee, si'wengine hatumjui.
 
Back
Top Bottom