baunsa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Huyu baunsa anajiamini nini kumpiga polisi?

    Tazama hii video uone namna baunsa wa Diamond alichomfanyia polisi.
  2. JanguKamaJangu

    Afande Sele: Bondia Karim Mandonga alikuwa baunsa wa kundi letu, alipenda msosi kuliko bia

    Zamani bondia Karim Mandonga alikuwa 'baunsa' wa Watu Pori, kundi la Afande Sele. Alikuwa anapenda msosi kuliko bia, kila wenzake wakiagiza bia moja naye anaagiza sahani ya chips. Afande Sele anasema Mandonga mtu wa kazi kweli.
  3. Suley2019

    Mnaikumbuka hii kitu balaa la kihindi KUBER? Hainaga baunsa hii 😂😂

    Aisee hii kitu nilikuwa naionaga tu enzi hizo nikachukulia poa. Siku ya kwanza niliila nikameza mate nilijisikia kufa, nilibanwa na haja ndogo na kubwa wakati mmoja. Tangu siku hiyo nilikoma. Kwanza ukinusa wahisi kuzunguzungu. Hadi sasa nikimuona mtu anakula mwili unanisisimka. Hata ukiwa...
  4. KENZY

    Mapenzi hayana baunsa

    Mapenzi hayana baunsa Haya ni maisha tu! Naapa ila ipo siku tu.
  5. Nyendo

    Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

    Waziri wa Afya, Dkt Gwajima leo ameelezea suala askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kupinga chanjo ya Covid-19 na kudai pamoja na ushemeji walionao haungani na itikadi zake. Pia ameshangaa wanaomuamini akitolea mfano wa Askofu kudai atamfufua Amina Chifupa kitu ambacho...
  6. Its Pancho

    Harmonize hana haja ya kuwa na baunsa sasa...

    Jamaa amejazia kinoma utadhani umaga wa kwenye mieleka.. Hata sadala ataanza kumuogopa sasa. Anatisha mmakonde... Nawasilisha Nb. Hebu tuangalie upande wa pili wa samaki. Tumuone mwalimu wake na role model wake maana ndie aliyemfundisha.
  7. dvj nasmiletz

    Naomba kujua uhusiano wa kifua kikubwa au six pax(mbavu nene) na Nguvu za kupigana

    nguvu za kupigana Mbinu za kupigana Style za kupigana ...zinahusikaje na Six pack Mbavu nene Misuli mikononi Midevu ya morison au rickross N.k??
Back
Top Bottom