Ahsante lakini nawe pia pole na kifurushi chako cha mwaka mzima..😅Nakujua una roho ngumu huwezi kunywa sumu ukaacha vyote vizuri vya dunia hii sababu ya mtu mmoja bana! Utakua uzembe sana utapata mtu mwingine mzuri mwenye figure amazing hadi utashangaa🤔
umeona ulivo mkorofi? Haya😂Ahsante lakini nawe pia pole na kifurushi chako cha mwaka mzima..😅
Wana jf mmenishinda tabia!![]()
pole mwaya, ukimpata mwingine usimtungie shairi kama lile, umeona sasa tembo ukilisifia mgema anavyolitia maji?Bwana wee usifike mbali sie tukakosa kucheka kisa talaka...tuliza kichwa hicho mapenzi yapo tu..Ahsante, sahivi mashairi yanakuja ya tofauti lazima nitapigwa ban.

Ya huku unayaona ila ya chumbani huyaoni! Sawa tu.

unaanza kunisagia kunguni mbele za watu
Mkuu bila walau picha ama video uzi huu hainogi!Haya ni maisha tu!,naapa ila ipo siku tu.
IMANIIMANI UPENDO MIUJIZA
Ndugu yetu Mayombi kimekupata nini?
Mi nimeitwa hadi nungunungu unajua inauma Sana!

ungemchoma miba kabisa...
Weeh usiniambieKama wewe ulivokamatika![]()