Dunia inaendeshwa na mapenzi

Dunia inaendeshwa na mapenzi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,468
Reaction score
64,771
Ata kama uwe unapata pesa kiasi gani, kama kwenye mapenzi huna furaha ni sawa na kazi bure.

Chimbuko au msukumo wa utafutaji wa binadamu ni mapenzi; mtu atatafuta pesa kwa nguvu, atatafuta vyeo kwa nguvu, atatafuta umaarufu, anapambana kusoma kwa nguvu n.k lakini hivi vyote vinasukumwa na nguvu ya mapenzi, ili kutaka kumuaminisha mwenzi wake na wengine kuwa yeye ni watofauti.

Kwa mfano, kama dunia ingekuwa na jinsia moja tu; haya maangaiko yote yasingekuwepo.

Kwa hiyo, tuyaheshimu mapenzi.

Kama unabisha, nyofoa jicho moja la kushoto.​
 
Mapenzi haya run dunia, bali, nguvu, madaraka na pesa.

Mapenzi ni moja ya outcome tu, ni sawa na mahitaji ya chakula, unatamani then unakula... Ila uwe nazo au hunazo utapata tu.

Kinacho run the show, ni pesa, nguvu, na mahangaiko
 
Back
Top Bottom