financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,503
Umeshapewa kibuti safi sana! Kumbe hadi wewe unaumiaga ukiachwaš pole lkn
Pole mkuuHaya ni maisha tu!,naapa ila ipo siku tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nipo kwenye penzi zito mno yaani mpaka naona nateseka mwenzenu
Ulicheka sana that day! Yamekukuta na wewe tena angedunda kabisa akiwa anakuachaššAsalalee umekuja wewe!! Najua unakisasi kabisa! Chamee bure sikukucheka makusudi..
Onesha uanaume bana acha kulialia mwamba!Yaishe financial inauma nasikia hadi meno yanacheza nipe moyo tu.
Yaani sikufariji hata kidogo tena umekomeshwaašYaishe financial inauma nasikia hadi meno yanacheza nipe moyo tu.
Jikaze!ššHaya ni maisha tu!,naapa ila ipo siku tu.
Unataka kufanyaje na huo ushirikina wako? Wewee utashirikiniwa wewe shauri yako! Umekoma KENZY ššāāļøNishaanza kuwa na fikra za kishirikina sijui itakuwaje..š
Haya mwenye uzi wake kajašššFanya yotee ila angalia USIOE KABISAAA..!!!
#YNWA
Ila poleššššTajitahidi..
Nakujua una roho ngumu huwezi kunywa sumu ukaacha vyote vizuri vya dunia hii sababu ya mtu mmoja bana! Utakua uzembe sana utapata mtu mwingine mzuri mwenye figure amazing hadi utashangaaš¤Ulitaka ninywe sumu ndo ufurahi..?