Pesa ndio kila kitu!

Pesa ndio kila kitu!

Binti tz

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2026
Posts
435
Reaction score
913
ukiwa nayo maisha yako yamejaa furaha kabisa.achaneni na mapenzi tafuten hela. mapenzi ni uzushi wa kipumbavu hauna faida yeyote.mapenzi hayana dhamana ni ushenzi tu wa mwanaapollo. tafuten hela ndiyo mapenz ya kwel ishi single kataa ndoa,kataa mahusiano,kataa zinaa ishi kitakatifu.
 
Mimi napingana na mleta mada. Maishani hakuna kikubwa zaidi ya AFYA NJEMA. Kuwa na pesa zako afu huna afya utajua hujui yaani furaha unayoisema haitokuwepo ndugu yangu
 
Nipo sawa mkuu,ila mimi nnaelezea kupitia experience yangu maana mimi toka kuzaliwa had sasa sijawai kuwa na mchumba na nina miaka 30 na ninaenjoy maisha kinoma
Sawa kama ni kweli .
 
ukiwa nayo maisha yako yamejaa furaha kabisa.achaneni na mapenzi tafuten hela. mapenzi ni uzushi wa kipumbavu hauna faida yeyote.mapenzi hayana dhamana ni ushenzi tu wa mwanaapollo. tafuten hela ndiyo mapenz ya kwel ishi single kataa ndoa,kataa mahusiano,kataa zinaa ishi kitakatifu.
"Maisha siyo kutesa kila siku but Pesa ndiyo kila kitu ,TABASAMU NIPATE FURAHA" - Byser
 
Back
Top Bottom