Noti ya efu 50 ni kitu gani utalipia....? Noti ya elfu 10 chenchi ni shida seuze ulete elfu 50??? UMESIMA HADI LEVEL GANI WEWE?Matumizi ya fedha za sarafu yanaakisi ni kiasi gani watanzania bado wapo nyuma kiuchumi,ni risk kuzihifadhi kwa maisha ya sasa kwasababu hata kuzihifadhi tu mifukoni au kweny bahasha ni usumbufu mkubwa,
Hivyo napendekeza watengeneze noti mpya ya elfu 20 na elfu 50 ili kuweza kupunguza idadi ya note hasa kwa wale wanaohifadhi fedha nyingi waweze kupunguza wingi wa note.
Mara paaap,unaidondosha noti yako ya hamsiniMatumizi ya fedha za sarafu yanaakisi ni kiasi gani watanzania bado wapo nyuma kiuchumi,ni risk kuzihifadhi kwa maisha ya sasa kwasababu hata kuzihifadhi tu mifukoni au kweny bahasha ni usumbufu mkubwa,
Hivyo napendekeza watengeneze noti mpya ya elfu 20 na elfu 50 ili kuweza kupunguza idadi ya note hasa kwa wale wanaohifadhi fedha nyingi waweze kupunguza wingi wa note.
Jamaa kawaza kipimbi sana!Umeshawaza unanunua vocha ya 1,000 halafu mtu kakupa note ya 50,000? Sitaki hata kuwaza daladala konda kapewa 50,000 akate 400.
Hili lako pia ni mojawapo kati ya hayo mawazo...Itabidi sasa serikali ipige marufuku baadhi ya mawazo
New Money printing indicates high rate of inflationMatumizi ya fedha za sarafu yanaakisi ni kiasi gani watanzania bado wapo nyuma kiuchumi,ni risk kuzihifadhi kwa maisha ya sasa kwasababu hata kuzihifadhi tu mifukoni au kweny bahasha ni usumbufu mkubwa,
Hivyo napendekeza watengeneze noti mpya ya elfu 20 na elfu 50 ili kuweza kupunguza idadi ya note hasa kwa wale wanaohifadhi fedha nyingi waweze kupunguza wingi wa note.
yamepita masaa matatu natamani kununua Muhindi wa kuchoma nina elf 10 mfukoni kila nikitaka kwenda kununua nasita maana najua ntamsumbua mama wa watu kutafuta chenjiMatumizi ya fedha za sarafu yanaakisi ni kiasi gani watanzania bado wapo nyuma kiuchumi,ni risk kuzihifadhi kwa maisha ya sasa kwasababu hata kuzihifadhi tu mifukoni au kweny bahasha ni usumbufu mkubwa,
Hivyo napendekeza watengeneze noti mpya ya elfu 20 na elfu 50 ili kuweza kupunguza idadi ya note hasa kwa wale wanaohifadhi fedha nyingi waweze kupunguza wingi wa note.
Sana.Jamaa kawaza kipimbi sana!
Ishu ni kwamba fedha za sarafu zisitumike tena,yaani kuanzia shilingi mia tano ya note hadi elfu 50 sasa hapo utapata usumbufu upi wa kupata chenjiyamepita masaa matatu natamani kununua Muhindi wa kuchoma nina elf 10 mfukoni kila nikitaka kwenda kununua nasita maana najua ntamsumbua mama wa watu kutafuta chenji
Comment Bora kabisaMzunguko wa fedha mdogo sana ungekuwa mkubwa sana wangeprint
Lakini kwa sasa ninakushangaa wewe unaishi dunia ya wapi watu wenye pesa nyingi hawahifadhi nyumbani ni benki na miamala mingi huifanya kwa ki electronic hivyo kufanya washikaji pesa taslimu kupungua
Hizi sarafu zinahitajika sana kwa majority ya watanzania kulipa nauli za daladala,kununua mahitaji mitaani mfano magenge ya kuuza nyanya,vitunguu nk
Kununua maandazi,chapati nk
Pia kuna sekta imeingia ya kucheza kamari zinahitajika sana hizo sarafu
Sasa mia nne inaingiaje hapo mkuu?,fedha hizi za sarafu ndy zinasababisha uhaba na mzunguko mdogo wa fedha za noteUmeshawaza unanunua vocha ya 1,000 halafu mtu kakupa note ya 50,000? Sitaki hata kuwaza daladala konda kapewa 50,000 akate 400.
Shida wp hizi sarafu ndy shida,fedha zikiwa kwa mfumo wa note hapatakuwa na usumbufu wa chenji kama ilivyo sasaNoti ya efu 50 ni kitu gani utalipia....? Noti ya elfu 10 chenchi ni shida seuze ulete elfu 50??? UMESIMA HADI LEVEL GANI WEWE?