God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
Kwanza mkuu nikuambie tuu hali ilikua mbaya toka 1959! huyo habyarimana ndie sababu ya yote hayo kwa mfano kama angeongoza watu wake bila ukabila yale yaliyotokea 1959 yangetokea tena?Kagame hakusimamisha genocide,Bali alii kickstart baada ya kumdungua habyarimana
Dhambi ni mbaya sana na alivuna alichopanda.
Mimi nachojua PK anapenda nchi yake basi na hili liko dhahiri kabisa.
Ugumu unaouona rwanda umeanzia mbali kagame mwenye kakulia uhamishoni(Uganda) kwa miaka 30 na machafuko ya 1959 ndio yaliyofanya familia yake ihamie uganda akiwa na miaka mi 3 so anafanya kila liwezekanalo kuweka mambo sawa kwa sababu joto laukimbizi kalionja toka utotoni mpaka ujana wake.
Mambo sio rahisi hivyo kama unabisha omba upewe hata miezi miwili uiongoze rwanda uone hali halisi.