King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,502
- 96,800
Hao waasi wahakikishe wanamuondoa huyo KAGAME,ni mshenzi sana,full UDIKTETA.
This time UN wajenge kambi Burundi na Kongo; Tz hatufaidiki na sarakasi hiziNaziona kwa mbali Kambi za Wakimbizi Ngara na Rusumo zikifunguliwa.
Hao waasi wahakikishe wanamuondoa huyo KAGAME,ni mshenzi sana,full UDIKTETA.
Lazima ang'oke jamaa wamejipanga na watakuwa na BACKUP.Wakishindwa kumuondoa sijui atawafanyaje
Unadhani waasi watamng'oa baada ya miaka mingapi boss?Lazima ang'oke jamaa wamejipanga na watakuwa na BACKUP.
Mapambano haya timeframe as long as target ikiwa archived hata kama kwa mda mfupi.Unadhani waasi watamng'oa baada ya miaka mingapi boss?
Matofali ya kuchoma[emoji23][emoji23][emoji23] wale wanapasuaga mawe?
Nawapa hata miaka 30 watakua hawajateka hata mtaa m1 huko Rwanda boss.Mapambano haya timeframe as long as target ikiwa archived hata kama kwa mda mfupi.
Hilo ndio swali la msingi mkuu,watu wanamchukulia poa sana Kagame,kama kuna mgogoro Rwanda na una backup ya Burundi basi its likely anaondoka Nkurunziza madarakaniUnadhani waasi watamng'oa baada ya miaka mingapi boss?
Na kuna ukweli kwny hilo mkuu,sa hivi Burundi imeanza kulalamika kwamba inatengeneza Mgogoro ionekane Yenyewe inawa back up hao waasi ili Kagame afanye yake huko Burundi.Hilo ndio swali la msingi mkuu,watu wanamchukulia poa sana Kagame,kama kuna mgogoro Rwanda na una backup ya Burundi basi its likely anaondoka Nkurunziza madarakani
mbona unalia lia??? Anza ili tufuate nyayo zako!!Asante ndugu kwa kuliona hilo.....
Watanzania ukiwakuta mitandaoni ni ma shujaa Kweli unaweza ukasema mageuzi ni kesho tu.....
Hakuna kiumbe mnafiki na muoga kama Mtanzania
ILI TUSI TEMBELEE JF? AISEE!WAISHIE HUKOHUKO RWD TU!Hao waasi wakitoka rwanda waje kwa jiwe
Kwanini unatetea Madikteta wewe?Hahah unawapa hao waasi muda gani watakua wamechukua nchi boss?Ili ikifika huo muda niku tag hapa nikupe hongera kwa mapinduzi kufanikiwa
Sababu na mimi ni full dikteta,ulitaka nimtetee nani boss?Kwanini unatetea Madikteta wewe?
Wewe umenielewaje kwani!Unauhakika na unachoongea
Hahah Congo hii hii mkuu ya wacheza sebene na wasuka dada zetu saluni?Itatengenezewa vikosi vya waasi kama vile vya m23 mpk itachanganyikiwa,hahah
Kwani kuna chochote cha uongo nilichoongea khs Wa congo hapo?Hebu nikosoe mkuu kama nimedanganyaKwa hiko kicheko una maanisha hilo ni jambo jema kwako??
HA HA HA HAAAAAA!!!!Hao waasi wakitoka rwanda waje kwa jiwe
Umemuona nawe mkuu, nafikiri huyu si mtanzania ila ni wale wafaidikaji wa upande ule kule kwao, ana hofu tonge kumponyoka mdomoni.Achana na hilo jamaa linatumia nguvu nyiiiiingi kutuondoa kwenye mainstream