Ngoja niangalie ratiba ya vikao vya bunge!
..Ni September.
..November.
..Januari.
..September anadai alihudhuria na alilipwa posho.
..November, hajaizungumzia. Hivyo inaelekea alikuwa "mtoro."
..Januari alitoa taarifa kwa SIMU na BARUA PEPE.
..Sasa kwanini Spika hakumuita na kumhoji?
..Kwanini tuingie GHARAMA kubwa kwa jambo hili?