Manyanyaso haya yatatuletea mauti

Manyanyaso haya yatatuletea mauti

Habari za J2 wapendwa,

Huyu shost mtakuwa mnamfahamu ni yule tulipata pamoja Ki-paimara katika lile kanisa. Shost huyu kwao wamezaliwa mabinti 6 hawana kaka na mabinti wote sita wametoka mashallah. Shost alipomaliza IV matokeo yalikuwa ya kawaida, alifanikiwa kusoma secretarial course na kupata kazi pia alibahatika kupata ndoa ya kanisani, mwenzangu alipata bahati ya kukaa madhabahuni tena na gauni leupe, kwangu mimi vilikoma baada ya ki-paimara.

Basi bwana shost alipata mume ambae alisaidia sana kwao, alisaidia ada za wadogo zake, alisaidia matengenezo ya nyumba wa wakwe na pia kuongeza mtaji kwenye biashara ya baba. Shost anaendelea na ajira yake, watoto watatu na msaidizi wa kazi za ndani ni mdada.

Shost amekuja kugundua kuwa msaidizi wa kazi za ndani ana uja uzito, uliza maswali dada amegoma kabisa kumtaja mhusika, shost anamsubiri mume wake amfahamishe kuwa dada ajira imekoma, mume amekuja juu ajira imekoma kwa sababu gani, kwani anashindwa kufanya kazi, hapana ana mimba, sasa mimba ni ugonjwa?

Baada ya mahojiano marefu, shost anagundua kuwa mimba ni ya mume wake, na pia hayuko tayari kumrudisha kijijini kwao anadai kwa usalama wa afya yake, Dar ndiyo kuna hospitali nzuri akae mpaka ajifungue.

Kwa kweli shost ana hali mbaya sana, ana hasira na anataka kuondoka, wazazi wanamshauri akae tu kwani huyu mwanaume ni kama mkombozi wa familia. Nikiangalia hali hii kwakweli wanaume haya sasa ni manyanyaso kisa unasaidia ukoo wa mke ndiyo umfanyie haya? Matokeo yake mtu anaamua kujiua.
Tatizo kubwa kwa binadamu, wakatiaameingia kwenye matatizo, anahangaika ku-deal na outcome badala ya source.

Shosti wako anadeal na mimba badala ya kutafuta kwa nini kumekuwa na mazingira ya mimba kupatikana..

Wanawake wengi huwa mnatumia papuchi kama silaha... yaani mkihisi tu kuwa mume kakosea basi cha kwanza huwa kumnyima papuchi..!!

Wanawake wengi mkihisi tu mume kakosea, basi pamoja na kumnyima papuchi, mnahusisha na adhabu nyingine kibao...
1. Hutaonges naye, na ikibidi kuongea naye basi makelele, matusi masimango kibao.
2. Kama ulikuwa unampigia pasi nguo, basi siku hiyo/hizo hutapiga pasi
3. Kama ulikuwa unamtengea chakula, basi hutengi tena
4. Kama ulikuwa unampelekea maji bafuni au kumkaribisha basi unasitisha
5. Kama ulikuwa unampetipeti basi unasitisha.

YAANI ILIMRADI UNALOHISI KUWA NI KOSA LINA MAADHABU KIBAO....
 
Bro wangu amewahi kusingiziwa amempa housegirl mimba wakakomaa na kumrudisha kwao, hakuwahi kukubali kuhusika kwavile hakumpanda kabisa. Ajabu yule housegirl alipofika kwao akadai alitaka kurudi tu nyumbani wala hana mimba na wala bro hajamkaribia kimapenzi. Huenda huyu mwenzetu naye kauziwa kesi. Wanaume wana huruma huenda hg huyu amelea watoto wake vyema na angependa pia kumsaidia asiteseke. Hg nao binadamu wakipewa mimba tusiwachukie bali tuwasaidie.
 
Hamna kuna mambo mnafanyaga sometime yanachangia. Anyways, kuna wanaume wengine nao wakware sana, viboro disa [emoji12] [emoji12]
Its like huwa mnaishi kwa kuwawinda wake zenu wakosee tu ili mpate sababu, jamani wake zenu nao ni binadamu msitegemee hawatokosea, na katika hayo madhaifu yake ndio kipimo cha how strong and matured you are.

Kuna mwenzenu humu katoa somo zuri kweli nendeni mkajifunze,mkeo ni image yako mziki unaopiga ndio anaocheza.
 
May be mkuu when I'm around them this is only what I get, labda ni psychological set up of my brain to pick up the faults.
Ukiendekeza majanga ya mashost zako unaweza usije kuolewa kwa kuogopa na wewe kufikwa na hayo mambo hayo yanayotokea ni vitu vya kawaida kwa maisha ya sasa
 
Mkuu si tamaa tu, sasa mtu anajua umefahamu kosa lake na bado anataka house girl akae mpaka akijifungua, ni kama umeletewa mke mwenza ndani ya nyumba.
Mwambie shosti aende kanisani walikofunga ndoa watampa suluhisho. Kanisa litamwamuru bwana ' amrudishe housegirl kwao au atoe talaka aruhusiwe kuoa housegirl' Huo utakuwa mtihani mkubwa kwa mume.
 
Inabidi hao marafiki zako waache kukushirikisha mambo yao. If all this comes from your friends basi wana shida.
 
House girl anapaswa awe treated kama mtoto wa familia, mafurushi yanayotembea na mahouse girls wao hawana utu na ndio hao hata mashemeji zao na watoto wao hawaponi kwao.

Alafu hilo la kuwa ni kama wanawake wengine inamaana unahalalisha huo upuuzi?
Punguza hasira, kimeshatokea
 
Inabidi hao marafiki zako waache kukushirikisha mambo yao. If all this comes from your friends basi wana shida.
Huyu ni mwanafasihi bwana, do you think ni mashosti zake kweli?
Huwa analeta mambo tujifunze, kutumia 'shost yangu' ndio utambulisho wake.
 
Na yanaendelea kutokea right?
Kwahiyo tuyaache tu si ndio?
Kikubwa ni kumtumainia mungu vinginevyo kwa nguvu zetu za kibinadamu hatuwezi kitu sanasana tutaishia kwenye mambo ambayo yanaongeza ngeu kwenye mioyo.
 
Mwambie shosti aende kanisani walikofunga ndoa watampa suluhisho. Kanisa litamwamuru bwana ' amrudishe housegirl kwao au atoe talaka aruhusiwe kuoa housegirl' Huo utakuwa mtihani mkubwa kwa mume.
Asante mkuu kwa ushauri huu.
 
Huyu ni mwanafasihi bwana, do you think ni mashosti zake kweli?
Huwa analeta mambo tujifunze, kutumia 'shost yangu' ndio utambulisho wake.
Mwanafasihi si ndio, shostiz all the time is boring kama ni mwanafasihi.
 
ni hivi hakuna kitu kibaya km ndoa yako ndo iwe ajira yako

utasoma rangi zote aisee...hudhirungi had I chanikiwiti

huyo mwanaume anajua hawezi fanywa chochote na akiondoka huyo Dada imekula kwake
na ukute alijisihau kabisa kufanya mambo mengine akitegemea Kodi ya meza
Kweli kabisa mkuu, yaani kusupport familia ya mke kusikupe kiburi cha kumnyanyasa binadamu mwenzako hivi, inaniuma sana kwani shost yuko kwenye sandwich situation famila inamkandamiza na mume anamkandamiza.

Mkuu what is an extraordinary to this story is mwanaume kuwa na kiburi cha kusema housegirl haondoki mpaka ajifungue.
Mwanamke huyo nampa pole sana Ila hakuna kibaya km mmeo kulala na hg wako aisee
bora wa jirani

mdada alijisahau sana ukute ktk majukumu yake ..

japo kuna magumegume ht ufanyeje yaani hayaridhiki abadani
 
Y'all brothas oughta respect your old ladies. She could put up with your bs, act like it's all good, til you let your guard down and she disconnects you and your joystick when you let her give you brains.

Can't be treating your deputy like sh!t.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] dictionary pleaseee!!!
 
Shost zako wote wana matatizo...ww si ndio itakuwa bomu kbs
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wanaume sometimes tunazidi tamaa mpaka hous girl jamani nanyie wanawake jifunzeni kusoma mchezo kabla sio house girl anakuwa msafi kuliko mother house
Sio usafi TU.... wanawake wengi wakishaolewa ndo wanajiona wamefika... Mdomo unarefuka kununa, KUJIBOST, kumringia mume yaani anaweza kuchelewa dk 5 akanyimwa utamu mwezi MZIMA!!! unakuta bekitatu mkariimu anambembeleza faza house anambembeleza ale akaoge atampa pole akitoka kazi atapokea mfuko au hata gazeti mama yupo tu na simu au anasogoa na majirani.... Na maneno ya karaha Wababa sometimes wanawaza Kwann nisingeoa huyu housegirl na wengine wanafika mbali kama huyu amempachika mimba na analinda usalama wake ukichanganya akili huyu mama house kapewa talaka tayari.......
Ukitaka balaa huyo mwanamke amguse huyo bekitatu... Ndo safari ya kijijini imewadia wanaume wengine km hawez kulala na bekitatu Unashangaa kwenye Bar yeye ni madada WA bar wanachukizwa na mambo wake zao, wanaanza tabia ambazo si zao anaona kuliko arudi hom Atibuane au anuniwe au achezee matusi bora amnunulie barmaid pombe ajifurahishe...

Tuache kuona kuolewa ndo jambo LA msingi.lTu...... mengine unatupa huko aisee hapa ndo huwa tunafeli balaa... Tuzilinde nankuzilea ndoa zenu kama yai ikisha dondoka huwezi kuiokota Teena hata km mme akikubali he arudi kijijini ndoa hii sio ndoa kamili milele haitakuwa na furaha kamwe


TUSHIISHI KWA MAZOEA PLAY PART YAKO KAMA /MAMA/MKE/MLEZI WA FAMILIA/MSHAURI /MFARIJI AU LA SI HIVYO... MMMH

...........

MWANAMKE MPUMBAVU HUIVUNJA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE....
 
Back
Top Bottom