Manyanyaso haya yatatuletea mauti

Manyanyaso haya yatatuletea mauti

Ila mm kwa kiasi fulani nimejifunza kitu.hua matatizo katika ndoa ukiona moshi umeanza kufuka jua wote wawili wamechangia hilo tatizo. Yawezekana shosti yako hakujua au kujifunza namna ya kumridhisha mumewe yaani kujua hasa mume hua anahitaji nini kwenye ndoa ili mtu awekezebhapo. Na makuzi yetu pia kwa sehemu ni tatizo kwani si watu wote wenye uwezo wa kufunguka na kusisitiza sexual priorities kila mara. Sasa kwa mfano huo niliosema utaona mwanaume anatengenezewa tatizo la kuhisinvacuume kwenye uhitaji wake wa ndoa. Kadhalika tatizo hilo laweza kutokea upande wa pili. Haya unayoona Hg kavurugwa ni matokeo au impacts za tatizo halisi lililopo.

Anyway kama ww unaweza kuongea na shemeji yako ongea naye ujue tatizo ni nini la sivyo kufukuza Hg ni sawa nankumeza panadol wakati tatizo ni malaria. Nakuhakikishia mkifanikiwa kupewa ya moyoni mwa shemeji yenu mtaleta suluhu ya kweli otherwise usijeshangaa shosti anaripuka hasira anarudi home jamaa anamtawaza rasmi Hg kuwa mother house.

Matatizo ya mahusiano yanahitaji umakini sana kuyasolve. Tena dont be judgemental
 
Manyanyaso haya yatatuletea mauti .
Dada hakuna minyanyaso hapo, hapo ni kusherekea kiumbe kingine kuja duniani, kosa sio la mtoto, bali ni housegirl au mume, inaonekana mume ana busara sana pia, maana yaonekana anataka kutunza mtoto, sasa kosa gani hapo?!
Mke angesheherekea ujio mpya, huwezi juwa ya Mwenyezi Mungu, yawezekana huyo mtoto ndio atakuwa mkombozi wa familia hapo baadae, toka enzi hizo mume kuzaa na wanawake zaidi ya mmoja ilikuwapo, sasa haya mambo ya kileo hasa kuwaiga wazungu fulani fulani basi imekuwa tabu, marekani kuna sect moja yaitwa Mormons - Mormons - Wikipedia, hawa wanaishi kama sie waafrika zamani kabla ya kuvamiwa na kupewa ma dini mengi, miiko yao na utamadui wa kwao, tushukuru mume na house girl kwa kutuletea kiumbe kingine na sio kwamba mke kanyanyaswa..
 
Mkuu kama ingekuwa ni ndoa ya bomani na umesha taarifiwa kuwa kuna uwezekano ikawa ni ndoa ya wake wengi hayo ni sawa, lakini mtu akuoe ndoa ya kanisani tena akueleze housegirl haondoki atalea mimba nyumbani mwako, ni ukosefu wa adabu mkuu.
 
Back
Top Bottom