Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,858
- 82,449
Story nzuri. Ukiweka kwenye kitabu au [emoji327] itauza
Kausha tu kwani house girl nae si mwanamke tu ka wengineHuu ndio upuuzi sasa..yani nikae na mke mwenzangu ndani ambaye ni housegal...bora ht angesema mke wangu nataka kuoa mke wapili soon mtaishi hivyo humu ndani..kwanza ucheat na housegal hlf nikuvumilie kisa mungu mtu kwenye ukoo...angezaa huko mtaani sio kwa housgal na anamtetea..shost hana chake
House girl anapaswa awe treated kama mtoto wa familia, mafurushi yanayotembea na mahouse girls wao hawana utu na ndio hao hata mashemeji zao na watoto wao hawaponi kwao.Kausha tu kwani house girl nae si mwanamke tu ka wengine
Hapana sihalalishi mkuu, ila dah maji yakimwagika hayazoleki, kama wengi walivyotangulia kusema hukk mwanzo mwanamke anatakiwa ajitizame alikosea wapi mpaka kikatokea kitu kama hicho. Na mpaka inatokea huyo manzi akanasa zaga basi huo mchezo inawezekana ulishaanza kuchezwa muda mrefu na huyo mama akiwa hajui, namhurumia ila dah wanawake jiongezeni jamani nyie mara nyingi ndio mnakaa na hao ma HGs so muishi nao vizuri hata ikitokea mshua akiomba zaga dogo anaweza kukumbuka wema wako na nafsi ikamsuta ila ukiiishi nae vibaya alafu mzee akaomba zaga hapo kwake anasema "Allahaulaah nimepata nafasi yakumkoma" lazima achane goli mshua atikise nyavuHouse girl anapaswa awe treated kama mtoto wa familia, mafurushi yanayotembea na mahouse girls wao hawana utu na ndio hao hata mashemeji zao na watoto wao hawaponi kwao.
Alafu hilo la kuwa ni kama wanawake wengine inamaana unahalalisha huo upuuzi?
Hivi mpaka lini upuuzi wenu mtaacha kuwasingizia wake zenu???Hapana sihalalishi mkuu, ila dah maji yakimwagika hayazoleki, kama wengi walivyotangulia kusema hukk mwanzo mwanamke anatakiwa ajitizame alikosea wapi mpaka kikatokea kitu kama hicho. Na mpaka inatokea huyo manzi akanasa zaga basi huo mchezo inawezekana ulishaanza kuchezwa muda mrefu na huyo mama akiwa hajui, namhurumia ila dah wanawake jiongezeni jamani nyie mara nyingi ndio mnakaa na hao ma HGs so muishi nao vizuri hata ikitokea mshua akiomba zaga dogo anaweza kukumbuka wema wako na nafsi ikamsuta ila ukiiishi nae vibaya alafu mzee akaomba zaga hapo kwake anasema "Allahaulaah nimepata nafasi yakumkoma" lazima achane goli mshua atikise nyavu
ahhhhjhhaaaaaaa sina mbavu jamani,,,comment yako imenichekesha sanaaaaaaaaaa,..,.Shost zako wote wana matatizo...ww si ndio itakuwa bomu kbs
Hahahaha unamcheka ex gelfrendi wangu sky?!ahhhhjhhaaaaaaa sina mbavu jamani,,,comment yako imenichekesha sanaaaaaaaaaa,..,.
hamnaa nacheka kwa comment ya kumvunja moyo instead ya kumshauriHahahaha unamcheka ex gelfrendi wangu sky?!
Atakupiga shauri yako..[emoji23] [emoji23]H
hamnaa nacheka kwa comment ya kumvunja moyo instead ya kumshauri
okay am,sorry!Ila mbona mi nime comment vzr tu jmnAtakupiga shauri yako..[emoji23] [emoji23]
Hujamcheka mwenzio?!...[emoji87]Ok
okay am,sorry!Ila mbona mi nime comment vzr tu jmn
Hamna kuna mambo mnafanyaga sometime yanachangia. Anyways, kuna wanaume wengine nao wakware sana, viboro disa [emoji12] [emoji12]Hivi mpaka lini upuuzi wenu mtaacha kuwasingizia wake zenu???
Malaya haitaji justification kufanya upuuzi wake, tena ndani ya nyumba kabisa huyu si ni furushi kiwango cha lami!!
Au huwa mnadhani mnaoa malaika? Kama shida ni mkeo kwanini hukuoa housegirl toka awali?
mi sijamcheka yéyé,,,nimefurahi na comment YakoHujamcheka mwenzio?!...[emoji87]
alfu usinitishie....Hujamcheka mwenzio?!...[emoji87]
Ngoja aje sasa hivi kalala kwao manyovu usiku sn muda huumi sijamcheka yéyé,,,nimefurahi na comment Yako
Humuogopi wala nn?!Alfu
alfu usinitishie....
[emoji3] [emoji2]Tatizo la Wanawake hamna mapenzi ya kweli.. Mbona sisi tukitendwa na tukahisi imetuuma tunaamua kujirestisha in pisi? Refer yule Mkurya na yule polisi kule tbr Nyie mbona mnaishia kulalamika tu mitandaoni?