Manyanyaso haya yatatuletea mauti

Manyanyaso haya yatatuletea mauti

Its like huwa mnaishi kwa kuwawinda wake zenu wakosee tu ili mpate sababu, jamani wake zenu nao ni binadamu msitegemee hawatokosea, na katika hayo madhaifu yake ndio kipimo cha how strong and matured you are.

Kuna mwenzenu humu katoa somo zuri kweli nendeni mkajifunze,mkeo ni image yako mziki unaopiga ndio anaocheza.
Mi sipo ivo bana ila najibia kwa cases nilizowahi kusikia,. Na kama mwanamke anacheza kwa mziki anaopiga mwanaume vipi kama akikosea step?
 
Mwambie shosti aende kanisani walikofunga ndoa watampa suluhisho. Kanisa litamwamuru bwana ' amrudishe housegirl kwao au atoe talaka aruhusiwe kuoa housegirl' Huo utakuwa mtihani mkubwa kwa mume.
Uliwahi kuona wapi talaka ya kirahisi namna hiyo kanisani? Labda kama ni muislam ila kikristu hapo talaka kutoka ni issue
 
Sio usafi TU.... wanawake wengi wakishaolewa ndo wanajiona wamefika... Mdomo unarefuka kununa, KUJIBOST, kumringia mume yaani anaweza kuchelewa dk 5 akanyimwa utamu mwezi MZIMA!!! unakuta bekitatu mkariimu anambembeleza faza house anambembeleza ale akaoge atampa pole akitoka kazi atapokea mfuko au hata gazeti mama yupo tu na simu au anasogoa na majirani.... Na maneno ya karaha Wababa sometimes wanawaza Kwann nisingeoa huyu housewife na wengine wanafika mbali kama huyu amempachika mimba na analinda usalama wake ukichanganya akili huyu mama house kapewa talaka tayari.......
Ukitaka balaa huyo mwanamke amguse huyo bekitatu... Ndo safari ya kijijini imewadia

MWANAMKE MPUMBAVU HUIVUNJA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE....
Espy nilikuambia kuwa wanawake mna mambo yenu mnafanyaga yanaharibu. Mfano wake huu hapa
 
Tatizo la Wanawake hamna mapenzi ya kweli.. Mbona sisi tukitendwa na tukahisi imetuuma tunaamua kujirestisha in pisi? Refer yule Mkurya na yule polisi kule tbr Nyie mbona mnaishia kulalamika tu mitandaoni?
Teh teh teh!
 
Tatizo la Wanawake hamna mapenzi ya kweli.. Mbona sisi tukitendwa na tukahisi imetuuma tunaamua kujirestisha in pisi? Refer yule Mkurya na yule polisi kule tbr Nyie mbona mnaishia kulalamika tu mitandaoni?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
In that case, tusubiri hadi waende kucheza au kulala. Nisingependa dictionary iwe katika mazingira hatarishi, maana watoto watundu sana.
[emoji13] [emoji13] wanangu wapole wewee ilete tu itatunzwa vzriiii....

kua na amani tuu...

tena wataitunza vbaya mnooo
 
Mwanafasihi si ndio, shostiz all the time is boring kama ni mwanafasihi.
upload_2017-1-29_14-59-20.jpeg
Marmite has a funny taste, there are two ways on it, either you will love it or hate it.
 
Back
Top Bottom