Kweli kabisa mkuu, yaani kusupport familia ya mke kusikupe kiburi cha kumnyanyasa binadamu mwenzako hivi, inaniuma sana kwani shost yuko kwenye sandwich situation famila inamkandamiza na mume anamkandamiza.Sio fare. Kama Jamaa ndiye mhusika wa ujauzito, na issue inafahamika basi, angempangishia nyumba sehemu tofauti na hapo.
Mke uliyezaa naye mtoto wako wa kwanza, na baadaye watoto wengine, ni wa kumheshimu sana.
Swali langu ni kuwa mume ana uhalali gani wa kuruhusu mimba ilelewe ndani?Wanawake mda mwingine mnajisahau maana haiwezekani ad housegirl abebeshwe mimba ndio msanuke,kwani ukiona shamba linapandwa af mnajitoa ufahamu cku linaota ndio mnasanuka.
HayukoKuna binadamu ambae hana matatizo?
Kiukwel amna hualali, lakini cna wakika kama lengo la hyo mwanaume ni kuzaa na housegirl au ilikua ni chapa ilale tu,mara himooSwali langu ni kuwa mume ana uhalali gani wa kuruhusu mimba ilelewe ndani?
Hata kama ni ajali, basi angemtafutia pa kuishi, kwakweli jinsi huyu mwanaume anavyosaidia familia ya shost, ana hali ngumu sana.Kiukwel amna hualali, lakini cna wakika kama lengo la hyo mwanaume ni kuzaa na housegirl au ilikua ni chapa ilale tu,mara himoo
Huu ndio upuuzi sasa..yani nikae na mke mwenzangu ndani ambaye ni housegal...bora ht angesema mke wangu nataka kuoa mke wapili soon mtaishi hivyo humu ndani..kwanza ucheat na housegal hlf nikuvumilie kisa mungu mtu kwenye ukoo...angezaa huko mtaani sio kwa housgal na anamtetea..shost hana chakeHuyu mwanaume kwenye familia ya shost ni malaika aliyetoka mbinguni, akitaka aondoke hawatamuelewa.
Ata kama ni kumtafutia mahali ingetakiwa kabla ata hawajafanya chochote lakin yawezekana kuna sehemu mama mwenye nyumba alijisahau pakapwaya ndio wakatumia chancHata kama ni ajali, basi angemtafutia pa kuishi, kwakweli jinsi huyu mwanaume anavyosaidia familia ya shost, ana hali ngumu sana.
Wasiwasi wangu ni kuwa asichukue maamuzi ya kunywa sumu kwani ndugu zake hawaelewi kuwa amekasirika kiasi gani, wanalichukulia tu kuwa wewe ni mke wa ndoa.Huu ndio upuuzi sasa..yani nikae na mke mwenzangu ndani ambaye ni housegal...bora ht angesema mke wangu nataka kuoa mke wapili soon mtaishi hivyo humu ndani..kwanza ucheat na housegal hlf nikuvumilie kisa mungu mtu kwenye ukoo...angezaa huko mtaani sio kwa housgal na anamtetea..shost hana chake
Hakuna kiumbe anashika mimba fasta km housegal[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kiukwel amna hualali, lakini cna wakika kama lengo la hyo mwanaume ni kuzaa na housegirl au ilikua ni chapa ilale tu,mara himoo
Hata kama lakini si kwa kiburi hiki, sasa akienda kazini hata mume akirudi nyumbani mara moja una wasi wasi kama wamaendeleza libeneke.Ata kama ni kumtafutia mahali ingetakiwa kabla ata hawajafanya chochote lakin yawezekana kuna sehemu mama mwenye nyumba alijisahau pakapwaya ndio wakatumia chanc
Sumu ya nn...ana watoto...hao ndg waache waendlee kuwa watumwa wa shetani....Wasiwasi wangu ni kuwa asichukue maamuzi ya kunywa sumu kwani ndugu zake hawaelewi kuwa amekasirika kiasi gani, wanalichukulia tu kuwa wewe ni mke wa ndoa.
Kama tiar dada ashabebeshwa kuhusu kuendeleza libeneke labda mamanyumba akabe kila kona las ivyo kale kastor ka kuongeza maskio cjui nini... hakawezi fika mwisho[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hata kama lakini si kwa kiburi hiki, sasa akienda kazini hata mume akirudi nyumbani mara moja una wasi wasi kama wamaendeleza libeneke.