Manyanyaso haya yatatuletea mauti

Manyanyaso haya yatatuletea mauti

Kama tiar dada ashabebeshwa kuhusu kuendeleza libeneke labda mamanyumba akabe kila kona las ivyo kale kastor ka kuongeza maskio cjui nini... hakawezi fika mwisho[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wanaume wengine wakiwa wazuri sana nje basi ndani kuna madhambi yao wanaficha.
 
Huyo dada naona hajielewi, hana misingi aliyojiwekea kulinda utu na heshima yake.
 
Usiache kutuletea mrejesho kuwa shost naye kapata wa kumtuliza maana wanawake kwa kulipizia ndio zenu.
 
Usiache kutuletea mrejesho kuwa shost naye kapata wa kumtuliza maana wanawake kwa kulipizia ndio zenu.
No anadepression ya hali ya juu, wazazi wake wanalichukulia hili poa tu, hana wa kuongea nae.
 
No anadepression ya hali ya juu, wazazi wake wanalichukulia hili poa tu, hana wa kuongea nae.
Ndio hivyo akipata mwanaume wa kuwa mshauri wa karibu pamoja na kumcare na kumtia moyo inakuwa mengineyo kirahisi sana, hata hivyo wazazi hawapaswi kuingilia ndoa ya mtoto wao akiachika hao watoto wake walelewe na nani? akomae tu mpaka mwisho hamna namna ishatokea.
 
Lakini haya ni Zaidi ya maudhi jamani ni kama mtu ametapika na anakulazimisha kula matapishi yake.
 
Lakini haya ni Zaidi ya maudhi jamani ni kama mtu ametapika na anakulazimisha kula matapishi yake.
Fedheha kwakweli, huwa najiuliza nakosa majibu ya swali langu la msingi la nini hasa kinamfanya mwanaume kutembea na msaidiz wa ndan? mbona wanawake ni wengi na wazuri! kwanini asitafute wa mbali angalau kulinda heshima ya mwenzie/mke wake? ni kosa gani kubwa alilofanya huyo wife wake mpaka kustahili adhabu kubwa namna hiyo?
 
Mkuu what is an extraordinary to this story is mwanaume kuwa na kiburi cha kusema housegirl haondoki mpaka ajifungue.
Nothing extraordinary about it. Did u expect a real man to let his blood go just like that?
 
Mpaka mwanaume ana mtamani housegal kuna sababu iliyopelekea hilo. Shida wanawake wakiolewa mkazaa mnajisahau matokeo yake ndio hayo.
 
Na familia zetu za kimaskini hizi, as long as mkwe anawasaidia, wewe vumilia tu huko ndoani ikibidi hata kufa ufe tu. Uondoke wenzio wakale wapi. Financial independence ya muhimu mno aisee
Kwakweli umasikini ni laana, hata uwezo wa kufikiri unapungua.
 
Back
Top Bottom