Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,811
- 110,060
Nisikatae huenda mna mfahamu, ila wasifu wake, ni binti mrembo kutoka Tanga, ana umri wa miaka 21, umbo na sura ni kama Jokate, anasoma chuo flani maswala ya uhandisi.. Ni shombe shombe flani ivi.
kwisha habari yako nadhani ndio huyo huyo....hebu rudia tena, shombe shombe!!