Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,894
- 110,289
Maureen yupo, ila sio mpenzi wangu tena, japo mie na yeye tunabaki kama ndugu au marafiki kwasababu tulikua wapenzi wenye malengo chanya, na hatujapenda tuyakatize.
Kuachana naye ndio chachu ya hivi upo sasa...maana miezi kadhaa ulikua wapenda jitutumua kama uji wa vitumbua kikaangoni...