Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Kama mathayo 7:13 inavyo sema(kama sijakosea)-Ingieni kwa kupitia mlango mwembamba,maana njia imesonga iendayo uzimani,nao waionao ni wachache.
Ubarikiwe manoah kwa kuamua kupitia njia nyembamba.

Ameeen!
Njia ya uzimani ni nyembamba kwa sababu kwenye hiyo njia ndiko kuna kuvumilia maumivu ya mwili na roho, kujinyima vitu muhimu kwa ajili ya wengine,kupendana bila ubaguzi, kusaidiana.....yote haya ni ngumu kutekelezwa kwa sababu ya tamaa na ubinafsi.
 
Last edited by a moderator:
Siwezi sema Maureen au Mimi manoah. Ila naamini kwamba kila mmoja wetu ana mtu wake ambae yupo tu kamwe hatutoweza pishana pindi mda sahihi utakapofika. Kwani tunaambiwa kila jambo lifanyike katika wakati sahihi
Sasa ikawaje? Nani kamtenda mwenzake
?
 
"Nothing is impossible to the willing heart." That's what I believe. Erickb52 nakupa hongera X100 kwa kuliona hilo. Mara nyingi nimekuwa najaribu personally kumrekebisha na mfano wa karibu ni leo mchana through PM. Tunakupenda. BIG UP manoah!!
Kwani huyu jamaa alikuwaje??EMBU MANOAH Confess
 
Last edited by a moderator:
Siwezi sema Maureen au Mimi manoah. Ila naamini kwamba kila mmoja wetu ana mtu wake ambae yupo tu kamwe hatutoweza pishana pindi mda sahihi utakapofika. Kwani tunaambiwa kila jambo lifanyike katika wakati sahihi
So mko wanne?
 
Nafikiri, Maureen kuna mtu sahihi ambae yupo na ni chaguo lake pia hata Mungu Mwenyezi atawabariki, Mimi pia nahisi kuna mtu sahihi juu yangu atakuja. Na ndio maana hatuja dumu katika mapenzi yetu
pamoja na ufukunyuku wangu wote, hapo nimegonga mwamba kujua.... manoah hebu toa jibu mushadadi hapa...
 
Last edited by a moderator:
Hapana, namaanisha huenda tumeachana na Maureen kwasababu mie sikua chaguo lake nae pia hakua chaguo langu maana yake, Mungu Mwenyezi anajua yupi sahihi atakae mfaa Maureen na atakae nifaa mimi pia.
So mko wanne?
 
Nafikiri, Maureen kuna mtu sahihi ambae yupo na ni chaguo lake pia hata Mungu Mwenyezi atawabariki, Mimi pia nahisi kuna mtu sahihi juu yangu atakuja. Na ndio maana hatuja dumu katika mapenzi yetu
Tatizo mlikula tunda la mti wa katikati....msingekula mngedumu. Na km ungekuwa na Moureen sasa hope msingeachana coz usingemkwaza.
Naamini kwa ulivyokuwa...lol we ndio ulianzisha ugomvi coz moureen ni mpole sana
 
Hapana kaka Erickb52, haumfahamu kabisa na hakuna anae mfahamu, mnge mfahamu kama angekubali kuja Tanga sema alikua kabanwa na mitihani, kwani sasa ivi tumebaki kua marafiki na kama ndugu ingawa tumeachana.

we ndio unahisi hakuna anayemfahamu...chezeya Mwinyimpeku watu8...
 
we ndio unahisi hakuna anayemfahamu...chezeya Mwinyimpeku watu8...

Hata mi namshangaa lol
Hajui mi ni mtoto wa Kitanga na wewe ni pacha wangu na Madame B na Arabela ni dada zetu na Dark City ni mzee wetu?
Heheheee mwambie tena Moureen nilimjua kupitia KOKUTONA mwaka juzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom