Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Na iwe ndani ya nafsi yako, tazama Mungu anavyo kupenda. Una afya njema, mavazi mazuri, una marafiki wazuri, una kula na kushiba, na anakupatia riziki yako. Je? Kwanini wewe usitenda moja tu kwake nalo ni mapendo. Namaanisha kama una mpenda hata kahaba hutoweza mnunua kwasababu upendo wa dhati wenye Mungu utakutuma umsaidie kwa moyo na roho pasipo ku mtumia ki ngono
 
Na iwe ndani ya nafsi yako, tazama Mungu anavyo kupenda. Una afya njema, mavazi mazuri, una marafiki wazuri, una kula na kushiba, na anakupatia riziki yako. Je? Kwanini wewe usitenda moja tu kwake nalo ni mapendo. Namaanisha kamja una mpenda hata kahaba hutoweza mnunua kwasababu upendo wa dhati wenye Mungu utakutuma umsaidie kwa moyo na roho pasipo ku mtumia ki ngono

Kasoro hajanipa Arabella
 
ukweni wapi tena manake una mabibi kila kona! Na unamuoa nani? Kama shopping dubai.mie ntakuwa mshenga wako!
We naweee ushaanza kuniharibia....!
Hujui tunaenda kwa akina Kiperemende?
Wewe na nivea ndo mtakuwa mawifi wa karibu.
Haya jiandae baada ya upako tunaandamana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom