Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Kilicho kwenda kwa mganga, ni kuku mweupe au mweusi, tunguli, nazi , sijui na nini vile ambavyo vyote ni ubahiri mtupu havitakiwi kuludi kwasababu vinakua vimetumika kwenye mambo maovu, ila pesa baba angu ni lazima iludi tena na riba ya 20% maana hakuna pesa heramu. my brother Arushaone
Kilichokwenda kwa mganga....
 
Last edited by a moderator:
Merry christmas

Kilicho kwenda kwa mganga, ni kuku mweupe au mweusi, tunguli, nazi , sijui na nini vile ambavyo vyote ni ubahiri mtupu havitakiwi kuludi kwasababu vinakua vimetumika kwenye mambo maovu, ila pesa baba angu ni lazima iludi tena na riba ya 20% maana hakuna pesa heramu. my brother Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 uzi umekwenda kasi kama ndege ya Fastjet, ni wazi siwezi tena kupitia page 51 zilizofikia. Unajua hii tabia ya kupendapenda imenigharimu mpaka hapa nilipofikia. Arushaone usihoji nani alikuwa kanificha mpka uzi ukaniacha tehe tehe.

Dena Amsi naona nikutakie moja kwa moja salamu za mwaka mpya huku nikiunga mkono hoja ya mleta uzi juu ya manoah kustahili ujiko wote alipakuliwa.
 
Mzee wa Rula naona nilisahau kukuweka kwenye kundi la penda penda na nashukuru umejitaja mwenyewe lol
Karibu sana coz ulifichwa ila nahisi ni Mamzalendo ndio alikuweka kwenye chupa.
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 uzi umekwenda kasi kama ndege ya Fastjet, ni wazi siwezi tena kupitia page 51 zilizofikia. Unajua hii tabia ya kupendapenda imenigharimu mpaka hapa nilipofikia. Arushaone usihoji nani alikuwa kanificha mpka uzi ukaniacha tehe tehe.

Dena Amsi naona nikutakie moja kwa moja salamu za mwaka mpya huku nikiunga mkono hoja ya mleta uzi juu ya manoah kustahili ujiko wote alipakuliwa.

Nafikiri lengo nikufika page 100 kama sikosei
 
Last edited by a moderator:
hahahahaahhahah huchelewi kaka? naona kama nimekuwa cumulative source of income to our family?
Natak tuanzishe hotel kule kwa Ngulelo then ndio utafute wa kukuoa kiukweli nivea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom