Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

nimekunywa dawa fulani ambayo inaendana na hiyo acha nikanunue hiyo naona itanifaaa zaidi, mikate nakula tangia asubuhi yaani ni kama nimehamia bakhresa ila sijaelewa tatizo ni nini au ni hali ya hewa acheni jamani kuhara si mchezo utafikiri nataka nimfuate yule msanii waliyemzika jana acheni hivi ninavyoandika hapa nimetoka kuhara muda si mrefu acheni utani jamani mwenzenu naondoka mie Kipipi

we mwana weee . . . . are you serious?
Ebu acha basi kusema hivyo jamani.

Komaa na dawa nami namwita manoah aje akuombee!
 
Last edited by a moderator:
...potezea! Kipipi hivi ulisajili lini kwenye chama hiki? I mean MAJUNGU GROUP OF COMPANIES (LLC). Ila kumbe hii ni January, dirisha dogo la usajili. BTW nakusalimu mrembo! ANGALIZO: sijamsemesha Erickb52!

Mimi kwenye hicho chama sipo . . . kwanza tuliambiwaga na akina Banza majiwe kuwa majungu sio mtaji! lol
Hivi mrembo maana yake nini kweli? Asnam binti Mtambuzi ebu njoo unitafasirie isijekuwa wananitukana ki-Yunani alafu mie sielewi!

BTW, mie mzima, habari yako?
 
Usimzoee sana huyu Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom