Teh ngoja nimwache aje ale raha ila nampa wiki mbili then naivuruga ndoa
Muamini Arushaone.....mfanye awe mshauri wako mkuu....
we mwana weee . . . . are you serious?
Ebu acha basi kusema hivyo jamani.
Komaa na dawa nami namwita manoah aje akuombee!
Nimesikia, nami nimeitika, kwa uwezo wa aliye juu nayo shida yake itakwisha.
manoah bado yuko kwenye matazamio ya tabia
Na watu wote semeni AMEEN!
QUOTE=Erickb52;5382846]Hujamkopia sweetlady
Na watu wote semeni AMEEN!
Amein.......