Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Ha ha haaaaaa, uwiiiiii vicheko vya ahsubuhi ahsubuhi vinasababisha vichomi jamani lol we Kin'gasti wewe?

sasa kama kasema hakuna urafiki innocent, mi nifanyeje? Na urafiki nautaka. Kwani nanihii anachukua yote yotee?
 
Last edited by a moderator:
Heri ya mwaka mpya pia shemeji shemeji.....sijakuona kabisa mwaka huu....tukutane leo jioni tupige lager za KOKUTONA.....

sasa ni za Mamndenyi, Lily Flower ama ni KOKUTONA? Shemeji shemeji mtata! Bora uchague mmoja uje tufanye ile barbecue yetu, nna nusu mbuzi hapa na kuku 2 viporo vya new year. Na smoked sausage 30cms.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom